Somalia: Girl stoned was a child of 13 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Somalia: Girl stoned was a child of 13

Discussion in 'International Forum' started by Kitia, Nov 2, 2008.

 1. Kitia

  Kitia JF-Expert Member

  #1
  Nov 2, 2008
  Joined: Dec 2, 2006
  Messages: 410
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Somalia: Girl stoned was a child of 13

  31 October 2008

  Contrary to earlier news reports, the girl stoned to death in Somalia this week was 13, not 23, Amnesty International can reveal.

  Aisha Ibrahim Duhulow was killed on Monday, 27 October, by a group of 50 men who stoned her to death in a stadium in the southern port of Kismayu, in front of around 1,000 spectators.

  Some of the Somali journalists who had reported she was 23 have told Amnesty International that this age was based upon a judgement of her age from her physical appearance.

  She was accused of adultery in breach of Islamic law but, her father and other sources told Amnesty International that she had in fact been raped by three men, and had attempted to report this rape to the al-Shabab militia who control Kismayo, and it was this act that resulted in her being accused of adultery and detained. None of men she accused of rape were arrested.

  “This was not justice, nor was it an execution. This child suffered a horrendous death at the behest of the armed opposition groups who currently control Kismayo,” said David Copeman, Amnesty International's Somalia Campaigner.

  “This killing is yet another human rights abuse committed by the combatants to the conflict in Somalia, and again demonstrates the importance of international action to investigate and document such abuses, through an International Commission of Inquiry.”

  Amnesty International has learnt that:

  * Aisha Ibrahim Duhulow was reported as being 23, based upon a judgement on her physical appearance, according to one of the journalists who had reported the stoning. Her actual age was confirmed to Amnesty International by other sources, including her father.
  * Her father said she had only travelled to Kismayo from Hagardeer refugee camp in north eastern Kenya three months earlier.
  * She was detained by militia of the Kismayo authorities, a coalition of Al-shabab and clan militias. During this time, she was reportedly extremely distressed, with some individuals stating she had become mentally unstable.
  * A truckload of stones was brought into the stadium to be used in the stoning.
  * At one point during the stoning, Amnesty International has been told by numerous eyewitnesses that nurses were instructed to check whether Aisha Ibrahim Duhulow was still alive when buried in the ground. They removed her from the ground, declared that she was, and she was replaced in the hole where she had been buried for the stoning to continue.
  * An individual calling himself Sheik Hayakalah, was quoted on Radio Shabelle saying:``The evidence came from her side and she officially confirmed her guilt, while she told us that she is happy with the punishment under Islamic law.'' In contradiction to this claim, a number of eye witnesses have told Amnesty International she struggled with her captors and had to be forcibly carried into the stadium.
  * Inside the stadium, militia members opened fire when some of the witnesses to the killing attempted to save her life, and shot dead a boy who was a bystander. An al-Shabab spokeperson was later reported to have apologized for the death of the child, and said the milita member would be punished.

  Background
  Amnesty International has campaigned to end the use of the punishment of stoning, calling it gruesome and horrific. This killing of Aisha Ibrahim Duhulow demonstrates the cruelty and the inherent discrimination against women of this punishment.

  The reports on this killing should be understood within the climate of fear that armed insurgent groups such as al-Shabab have created within the areas they control in Somalia. As Amnesty International has documented previously, government officials, journalists and human rights defenders face death threats and killing if they are perceived to have spoken against al-Shabab, who have waged a campaign of intimidation against the Somali people through such killings.

  Since the death, a number of individuals have told Amnesty International they have fled from Kismayo out of fear of suffering a similar fate to Aisha Ibrahim Duhulow.
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  So sad, hawa wanaotaka kutuletea shariah laws hapa Tz ndo wanataka tuwe reduced into savage beasts kama hawa?

  Hatuwezi kukubali huu unyama..
   
 3. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #3
  Nov 2, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mungu atusaidie na atubariki Waafrika,
  Hizi imani tumeletewa na waliokuwa nazo,
  Hizi imani zinatufanya tunauana wenyewe kwa wenyewe.
  Mungu tusaidie na utubariki Waafrika.
   
 4. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  `` Africa will not continue to watch from the sidelines as tenets of democracy are broken or when governments oppress their own people.

  The past non-interference in member countries internal affairs has no place in our continent.´´
  Jakaya Kikwete, Chairman, African Union, and President of Tanzania, 10-27-2008

  Ok, back up your words now, Mr. Chairman.
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Mi naamini mchungaji kwa sera za kidini hizi za sisiemu huko ndiko tunakokwenda.
  Mungu atuepushe kwa kuindoa sisiemu madarakani maana wenye nia mbaya wamekimbilia huko na sasa wanatuelekeza huko!
   
 6. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #6
  Nov 2, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mpendwa Mchukia Mafisadi,
  Ombi langu ni kuwa: Mungu aisafishe CCM, iwe inakubalika zaidi kwa WaTanzania, iendelee kutawala hadi kiyama.
  Mungu Ibariki Afrika na watu wake.
   
 7. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #7
  Nov 2, 2008
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Asante kwa kukubari kuwa ni chafu na inahitaji kusafishwa.
  Chombo kichafu hakiwezi kutumika milele. Kinapelekwa kwenye karo ili kisafishwe. Ndipo kirudi kutumika. Iondoeni hiyo sisi M ikasafishwe na umilele huo hautakuwepo tena katika uchafu huu.
  Sisiemu ni chafu sasa na kamwe haiwezi kusafishwa kabla ya 2010. Iondoke na sera zake za kidini. Haitaweza kutawala milele, ila najua moja tu ni Yesu ndiye atatawala milele.
  Angalia nawe usije najisika mpendwa.
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Nov 2, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Ahudhubillah Min dharka.

  Hao walio fanya kitendo hicho cha kinyama, wanaonyesha ni jinsi gani hawana ubinadamu, na wapo hapo kwa kutetea ukandamizaji wa haki za kibinadamu.

  Kitendo kilichofanyika si katika uislam, japokuwa anti-islam, watachukulia kuwa ndio uislam na kuunganisha tukio hilo na mambo yanayojiri sasa kuhusiana na mahakama ya Kadhi na sakata la O.I.C hapa Tanzania.

  Sote tunafahamu kuwa Somalia hakuna serikali kwa kipindi cha miaka zaidi ya 18 sasa. Utawala uliokuwepo ni huo wa kimabavu, makabila makubwa ndio yenye kutawala Somalia (Darood, hawiye nk). Waulizeni au tafuteni habari za yale makabila madogo ya somalia yanavyo teseka, mfano jamaa wa Kibajuni, leo wamekuwa wakimbizi katika nchi mbali mbali.

  Who are al-Shabab militia anyway! Hiki ni kikundi tu kinacho jichukulia madaraka mikononi. Ukienda Mogadishu nako kuna vikundi vyenye misimamo tofauti na hawa wanao jihita al-Shabab militia. Hivi ni vikundi ambavyo havijui nini maana ya haki za binadamu na wala hawahujui Uislam.

  Hawa watu wanapaswa kulaaniwa kwa kila hali.

  Mungu Ibariki Afrika, Mungu Ibariki Somalia ipate mwelekeo na serikali ya kudumu.

  Amin
   
  Last edited: Nov 3, 2008
 9. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #9
  Nov 2, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mpendwa Mchukia Mafisadi,
  Mie ninaamini kuwa CCM ni mwamba imara ambao umenyeshewa mvua na kuwa na kutu, hiyo kutu 'ikikwanguliwa' mwamba huo utarudi kwenye ubora wake wa asili.
  Ndugu, Bado hakuna Chama mathubuti kama CCM hapa Tanzania kwa sasa.
  Ukisema CUF ... ndio hivyo tena
  Ukisema CHADEMA ... ndio hivyo tena.
  Bado waTanzania tutaihitaji CCM kwa muda mrefu kidogo.

  Lakini suala la huyu binti wa miaka 13 aliyeuwawa kwa kupigwa kwa mawe 'eti amezini' sijui kama wanaume/mwanamume aliyezini naye amepigwa mawe hadi kufa pia?;
  RIP binti hawa waliokuua wanafuata mafundisho ya mungu wao hivyo nao watakufuata sio muda mrefu.
   
 10. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #10
  Nov 2, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Sidhani hata hayo mafundisho wa huyo mungu wao yansema hivyo...!
   
 11. M

  Mama JF-Expert Member

  #11
  Nov 2, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  The Global Campaign to Stop Killing and Stoning Women!


  Press Release: Condemnation of Stoning to Death of Asha Ibrahim Dhuhulow
  29 October 2008 The Global Campaign to Stop Killing and Stoning Women! (SKSW) strongly condemns the stoning to death of Asha Ibrahim Dhuhulow, a 23 year old Somali woman who was publically tortured and murdered Monday 27 October, 2008 in the local square in Kismayu, Somalia.
  Accused of adultery, Asha Ibrahim Dhuhulow was buried up to her neck in front of hundreds of people while stones were hurled at her head. She was dragged out of the hole three times to see if she was dead.
  Somali Islamist insurgents captured the southern port of Kismayu in August of this year. Witnesses to the stoning said the militants, known as al-Shabaab, accused the woman of adultery and extracted a confession. Although all standard interpretations of “sharia” (or collections of various Muslim laws and their interpretations) dictate that adultery must be proven by four eye witnesses in a court of law, the Somali Concern Group reported that the killing was extra-judicial, and that the woman did not receive a trial.
  Stoning is not mentioned anywhere in the Quran and is considered by many respected Muslim scholars to be un-Islamic. Many Muslim states such as Malaysia, Indonesia, Tunisia, Algeria and others have banned death by stoning. Despite calls for abolition from around the globe, stoning still occurs in several countries, either under law or by the community.
  Members of al-Shabaab apparently publicized the execution, killing the woman in front of hundreds of people at the town square. When a relative and others pushed forward to rescue the victim, guards opened fire, killing a child. Islamist leaders have reportedly apologized for killing the child, but offered no such repentance for the stoning of Dhuhulow.
  Stoning is a grave and serious violation of International Human Rights Law. Stoning breeches the International Convention of Civil and Political Rights (1966). Somalia acceded to the convention in 1990.
  Article 6 of the ICCPR states that “in countries which have not abolished the death penalty, sentence of death may be imposed only for the most serious crimes”, of which adultery is not.
  Article 7 of the ICCPR states that "No one shall be subjected to torture or to cruel, inhuman or degrading treatment or punishment". This last injunction is reinforced in the 1985 Convention against Torture and Other Cruel, Inhuman, or Degrading Treatment or Punishment (CAT) to which Somalia acceded in 1990.
  Although the killing was carried out by non-state insurgents, Article 2 of the CAT states that “each State Party shall take effective legislative, administrative, judicial or other measures to prevent acts of torture in any territory under its jurisdiction.”
  We urge the state of Somalia to ensure a prompt and impartial investigation into this grave case. Members of al-Shabaab as well as every individual who took part in the stoning must be brought to justice, and the Somali state should take due diligence in taking every possible measure in order to prevent any such violation of women’s human rights from reoccurring.
  Furthermore, the Global Campaign to Stop Killing and Stoning Women! urges all militias, insurgents, independent armies and other non-state actors in Somalia to respect the human rights of civilians in their communities and unequivocally condemn the practice of stoning.

  For more information, please go to www.stop-stoning.org
   
 12. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #12
  Nov 2, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mkuu Mama,
  Uliyokoti ni mema kuyafuata, lakini hili jambo ni la 'kidini'.
  Suluhisho pekee ni wanawake wote duniani kususia hii 'dini' ili hao waliowafanya kuwa ni watu wasiokuwa na thamani waweze kujirudi.

  Mungu tusaidie Waafrika.
   
 13. M

  Mama JF-Expert Member

  #13
  Nov 2, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  teh teh teh, unafikiri wao ni kama jukwaa na wahariri eeh? hao ndio wanajua kususa bwana.
   
 14. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Bila kususa Mama yangu ujue kuwa 'wataendelea kupigwa mawe' hadi kiyama.
   
 15. M

  Mama JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  sio rahisi kihivyo, kwani hapo Tanzania hakuna wanawake wa kiislamu? wangapi kati yao wanafanya uzinzi na wangapi kati yao wamewahi pigwa mawe.

  Kwa upande mwingine sheria ni msumeno isipokuwa kwenye masuala ya EPA tu :D(unauzoefu nalo bwana mchungaji). Ukitaka kuishi Saudi Arabia kama wewe ni mwanamke lazima ukubali kufunika kichwa na pia usiendeshe gari nasikia!
   
 16. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #16
  Nov 2, 2008
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Hawawezi kususia Kama vile nchi za ulaya zilivyosusia kanisa katoliki! kwa sababu wanajuwa kuwa kilicho fanyika Kismayu si katika taratibu za Kiislam.
   
 17. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Sio Saudi Arabia tu Mama yangu, unakumbuka utawala wa Taleban kule Afghanistan? pia kuna baadhi ya majimbo yanayoongozwa kwa sharia huko Naijeria unamkumbuka yule mama wa miaka 30?

  Hapa kwetu Tanzania itaanza very soon tutakapo jiunga na OIC.
   
 18. M

  Mama JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  ow...ooh okay, nasikia nchi zote zilizojiunga na IOC sasa zinafuata sharia na watu kadhaa wameshakuwa stoned to death!!??? na nchi hizo zote zimekuwa declared Islamic States, sijui nilidanganywa baba mchungaji?
   
 19. Kuhani

  Kuhani JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2008
  Joined: Apr 2, 2008
  Messages: 2,945
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa sijui hicho kitu, I am stunned!

  Miaka yote nilikuwa nadhani "Sharia" ndio inavyosema kwamba ukikamata a couple wanazini unamwachia mwanamme aende halafu mwanake mnampiga vitofa mpaka afe.

  Kumbe inawezekana dini nzima imekuwa distorted through and through.

  Inawezekana hata zile sheria za Saudi Arabia na Irani zinazosema Mwanammke haruhusiwi kuwa na driver's licence, hawezi kuwa daktari, ajifungie ndani na azibe mpaka uso, inawezekana ni sheria za kutunga!

  Au ni tamaduni za Kiarabu zimegeuzwa masharti ya kidini?

  Tatizo moja nadhani ni kwamba tunafundishwa Uislamu kwa lugha ya kigeni. Uwe Mswahili, Mjapani, Mdengeleko, Mhaya, wote tunafundishwa Uislamu kwa Kiarabu. Kwa nini usiongee Kiswahili tujifunze Uislamu katika lugha tunayoilewa ? Kung'ang'ania utamaduni wa waliotuletea dini ndio mwanzo wa distortions hizi.
   
 20. M

  Mama JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2008
  Joined: Mar 24, 2008
  Messages: 2,858
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0

  Kama ulikuwepo tatizo kubwa hapa ni hizo tamaduni za kiarabu. Kwa mfano zile za Iran ndio kabisaa, maana wafarsi na jamii hizo wanatamaduni tofauti kabisa na waarabu. Uislam stands kama ulivyo na uarabu kama ulivyo, so do Farsi na uswahili.

  Wapo wanaoijua kwa undani na it is very interesting when you meet someone who knows the real Islam.
   
Loading...