SOMA UJUMBE HUU...... TUWATHAMINI MÂMÄ ZETU

SOMA UJUMBE HUU...... TUWATHAMINI MÂMÄ ZETU

nzorymussah

Member
Joined
Nov 1, 2016
Posts
6
Reaction score
5
MOLA WASAIDIE WAKINA MÂMÄ WOTE DUNIANI.... WALIO TANGULIA MBELE YA HAKI, MOLA AWAPE MAKAZI MEMA HUKO WALIPO....

TUWAPENDE MÂMÄ ZETU [emoji8][emoji8][emoji8]

[emoji264][emoji261]Mwanadamu ulizaliwa katika hisia za kulia ukiwa kichanga mwenye uchafu Asili ya upendo ipo kwa mama ulipofumbua macho ulikutana na tabasamu la mama.

[emoji264][emoji261]Mama alitabasamu wakati unalia mama alijifanya uchizi ili kukufurahisha ghafla ungetokea kuwaona mtoto anapocheza na mama yake ungelidhani wote ni watoto kwa mapenzi ya mama.

[emoji264][emoji261]Mwanadamu tambua unaweza umizwa na wengi lakini upendo wa mama ukakufanya utulie na hakuna mapenzi ya kweli kwa mtu kama mapenzi ya mama.

[emoji264][emoji261]Mama juu yako baya likikukuta mama hulia mama yupo tayari kudanganya ulimwengu kukukomboa katika matatizo yako.

[emoji264][emoji261]Alificha chakula wakati ukicheza udogoni na uliporejea ukamkuta amelala lakini aliacha maagizo utakuta wapo wa kukupashia yote mapenzi.

[emoji264][emoji261]Mama alipoamka mwanzo alikuulizia ameshakula? Ima umekula atafurahi ima hujala atapita majumba ya watu kukuulizia hata kama atatoka miguu peku yote mapenzi tu.

[emoji264][emoji261]Ulipoumwa usiku halali atataabika kwa kukaa na wewe ukiwa mikononi mwake huku akilalila ukuta pembeni mwa kitanda huku akitarajia pakikucha shingo limuume kwa kukesha na wewe yote mapenzi hayo.

[emoji264][emoji261]Mtu yoyote akikupenda watu watamshangaa kwanini anakupenda sana? Lakini mapenzi ya mama hayaulizwi kwanini anampenda yote ni nguvu za hisia za upendo toka kwa mama.

[emoji264][emoji261]Umekuwa sasa huenda hayupo tena mama amekuacha katika dunia ya mihangaiko na wala tambua hakuna tena kiumbe kitachokupenda kama alivokuwa mama.

[emoji264][emoji261]Na ukiwa umebarikiwa upendo ulio hai kwako namaanisha uhai wa mama basi huenda amechokaa na anatembea kama mtoto sasa rudisha upendo wako kwa kumfanya nae afurahi japo hutoweza kulipiza yote.

[emoji264][emoji261]Mama utamkumbuka utapomkosa utatamani kuita mama na hata ukipata wa kuwaita upendo hautatoka moyoni.

[emoji264][emoji261]Wakati ulipotoka alitabasamu basi na wewe hakikisha wakati anakukimbia duniani mfanye atabasamu hata kama atatokwa na machozi .

[emoji264][emoji261]Mtumie ujumbe huu Mama na kama hunae tena muombe kwa MOLA upatapo ujumbe huu watumie wenzako huenda wakafufua hisia kwa Mama.

[emoji264][emoji261]HUYU NDIO MAMA MALIKIA WA UPENDO.

[emoji267][emoji248]KISIWA CHA IMANI[emoji248][emoji267]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom