Soma Post Graduate Diploma online

msumeno

JF-Expert Member
Aug 3, 2009
2,826
1,730
Waungwana mambo yamebadilika, sasa waweza soma oline na ukafika mbali na hii inawahusu hawa wanzangu namimi ambao muda wa kwenda darasani ni mgumu, option rahisi ni kusoma online. Leo nawaletea kozi ya bure na ya kulipia na ukapata Post Graduate Diploma ya Global Health Procurement and supply chain management toka Empower school of Health LLP ingia hapa http://www.empowerschoolofhealth.org/courses-calendar za bure ntapost pia

asante
 
Malipo je...? na unasoma kwa muda gani?
 
msumeno. Nilikuwa natafuta saana vitu kama hivi bahati nimeona. Ila kwenye link naona inasumbua. Nilitaka niku-pm, nikupe namba yangu ya simu bado kifaa changu kinanisumbua. Please please naomba uni-pm unipe namba yako ya simu tafadhali.
 
wakuu kitufe sikioni hapa ila kama mnaweza ni PM mnitumie email zenu niwatumie moja kwa moja data zote
 
Empower School of Health is an accredited Centre of Excellence engaged in Global Health consulting and capacity building.

We focus on promoting Access to Medicines, and work with UN agencies, Ministries of Health, and Public Health Organizations across Africa, Asia, CIS and the Pacific.
 
Empower’s key area of expertise lies in Procurement and Supply Chain Management training. Tailoring to the needs of several UN, non-government and government agencies, we have trained various professionals creating a niche for ourselves in the domain of training public health professionals. Intensive programmes are also available for participants seeking a more comprehensive understanding in a specific area of expertise
 
M nasubir za bure

Hii hapa ya UNDP ila ni certificate nzuri sana well recognized na accredited na CILT na Empower school of Health LLP
 
Attachments

  • 1488268159_Empower UNDP Flyer(2).pdf
    622.7 KB · Views: 73
Haya calendar 2017 ukiifungua hata picha yangu iko hapo kwa wale wanaonifahamu
 
Attachments

  • Empower - Annual Training Calendar 2017(1).pdf
    1.7 MB · Views: 92
Mbona vingi tu au una maana gani mkuu?
NINAMAANA KWA MTU MWENYE DIPLOMA YA EDUCATION ANAWEZA KUSOMA POST GRADUATE .? NA VYUO GANI HUTOLEWA.NINA MDOGO WANGU ANA GPA 2.7 YA PHYSICAL EDUCATION and SPORTS JE ANAWEZA SOMA POST GRADUATE YA DEGREE? WAP?
 
Ukiwa na Ordinary Diploma (NACTE) na ufaulu wa GPA 3 unaweza kufikiriwa kudahiliwa/kusajiliwa Degree ya Kwanza. Kwa wale wenye Advanced diploma ndiyo walikuwa wanadahiliwa/wanasajiliwa post graduate (diploma au degree) lakini nafikiri serikali ilisimamisha hii diploma Huyo mwenye GPA ya 2.7 kama ni ordinary diploma kwa vigezo vipya hata degree ya kwanza hatadahiliwa. PostGraduate Diploma/degree unahitaji (Tanzania) degree ya kwanza au advanced diploma (ingawa sijui ufaulu wanaotaka).
 
Back
Top Bottom