msumeno. Nilikuwa natafuta saana vitu kama hivi bahati nimeona. Ila kwenye link naona inasumbua. Nilitaka niku-pm, nikupe namba yangu ya simu bado kifaa changu kinanisumbua. Please please naomba uni-pm unipe namba yako ya simu tafadhali.
Please, katika hali isio ya kawaida sehemu ya kuku-pm siipati katika kisimu changu cha nokia. Nakuomba ni-PM wewe itaniwia rahisi nikupe contact zangu. USINIPUUZE TAFADHALI.wakuu kitufe sikioni hapa ila kama mnaweza ni PM mnitumie email zenu niwatumie moja kwa moja data zote

Ukiwa na Ordinary Diploma (NACTE) na ufaulu wa GPA 3 unaweza kufikiriwa kudahiliwa/kusajiliwa Degree ya Kwanza. Kwa wale wenye Advanced diploma ndiyo walikuwa wanadahiliwa/wanasajiliwa post graduate (diploma au degree) lakini nafikiri serikali ilisimamisha hii diploma Huyo mwenye GPA ya 2.7 kama ni ordinary diploma kwa vigezo vipya hata degree ya kwanza hatadahiliwa. PostGraduate Diploma/degree unahitaji (Tanzania) degree ya kwanza au advanced diploma 9ingawa sijui ufaulu wanaotaka).
Mkuu nilikuwa na jibu comment ya mkuu mmoja hapa. Hizo course unazozungumzia nimeziona nakuzielewa. Ahsante.mkuu nitumie email yako nikutumie details , hizi ni international courses
Postgraduate degree ni degree ya kuongezea baada ya kumaliza degree ya kwanza. Wakati mwingine mnaita Masters degree.MSUMENO UNAFAA SAAANA KTK JAMII .KWANI KUNA CHUO KINACHOTOA POST GRADUATE DEGREE?