yellow eyes
JF-Expert Member
- Mar 6, 2018
- 2,904
- 3,353
Pole kwa tukio ila jaribu kujichunguza vizur mkuu huenda kuna sehemu ulishabugi kwa kujua au kutokujua. Mfano, huenda hiyo pikipiki uliinunua kwa mtu kumbe n ya wizi so wameshakulia target wakihtaj pkpk yao. Jitathimin tu utajua wap hauko sawa. Tibu hilo tatizo maana had Leo hujajua ni akina nan walikuwa wanakufatilia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app