Soma mkasa huu ulionikuta

Soma mkasa huu ulionikuta

Kumbe ndio wewe ngoja tufuatilie domain zako yaani umeiba pikipiki ya polisi halafu umekimbia na ilipopata ajali ukaiiba tena
 
Wewe ni MWIZI, JAMBAZI. Shenzi type!!!

Kwa hii sentensi hata huo ujasiri wa kukimbia wewe ni mwizi. Mbw.a wewe. Mie sipendi majizi kama wewe. Mxewwwwuuuu

"sikutaka iende polis maana sina kadi ya hiyo pkpk na pia namba za usajil si sahihi,"
hahaaa punguza hasira bhaas
 
Habar wana jf,, jumapili moja dec 2018 Nimetoka home jion naelekea kumuona mpenz wangu nikiwa na usafir wangu pkpk XLR bas nikiwa njian nyuma kulikua na gari aina ya Subaru, njia niyokua napita ni lami iyoelekea arusha national park (momela) kwa wenyeji wa arusha watafaham bas ile Subaru ikawa inakuja nyuma taratibu bila kuni overtake magar mengine yanakuja yanapita lkn yenyewe yaipiti,, sikua na waswas nilijua watu wako na mambo yao, barabara ile huwa haina magar mengi sana kuna wakat unaweza jikuta peke yako barabara nzima, basi bana nikaendelea na safar nikafika mahal kukawa hakuna gari mbele linalokuja wala nyuma zaid ya ile Subaru ilikua 12 hv inakaribia saa 1 ,,, bas nikasikia ile Subaru ikiongeza mwendo kama inanipita ilipofika usawa wangu ilinigonga kwa ubavu kisha ikasimama kuziba njia nilitaharuki maana niliona ni tukio la makusud niliyumba nikajibalance mguu mmoja chini hivyo sikuanguka pkpk ikawa inaelekea mashamban,, kugeuza shingo nikaona jamaa wa3 wanashuka na kuanza kunifuata ikanibid nielekeee hukohuko mashambani maana sikujua nn dhamira yao,,,basi nikajaribu kuongeza mafuta jamaa wakaanza kunikimbiza kwa miguu walijua sitafika mbali maana shamba lile lilikua na matuta huwa linalimwa viazi na pia kuna matope, ni kweli sikufika mbali nikaitupa pkpk chini nikaanza mbio kwa mguu japo iliniumiza mguu wakati naidondosha,,aisee asikwambie mtu kifo kinaogopesha nilikimbia vibaya mno huku wale jamaa wakija nyuma huku wakipiga kelele za mwizi yaani mm ndo mwizi, nakumbuka nilianguka Mara 4 kwa sababu ya matope Giza lilishaanza kuingia niliingia kwenye kichaka nikatokeza mtoni nikavuka upande wa pili sikua na uhakika kama bado walikua nyuma yangu au la,,, upande wa pili wa mto nikaona nyumba ndogo nikataka niingie nikaombe msaada lkn kitu kikaniambia wanaweza kukukuta hapo songa mbele ehee Mara wakaja mbwa 3 kutoka kwenye ile nyumba nilisimama nikainama kama naokota mawe wakarud nyuma nikavunja ukuni ulio karibu nikaingia kichakani huko nyuma mbwa wanabweka sana ,,, nikatokezea kwenye eneo ambalo lilikua na ma- tent ya maua kuna kampuni ya maua inaitwa KILIFLORA iko USA RIVER ARUSHA basi nikatokezea kwenye maeneo yao Giza lilisha ingia nikasema huku nilikoingia nitaonekana mwizi naweza pigwa risas nikatoa sim mfikon nikawasha tochi kisha nikaanza kutafuta njia nikapata njia nikawa natembea huku nmewasha toch ya sm ,,, nikakutana na mlinz aliyeko doria akiwa na mbwa,,nilimkaribia huku nahema nikaanza kumueleza kilichonikuta lkn akawa kama vile haniamini ilinibid nikae chini kabisa baada ya mahojiano sana akanichukua kunipeleka kwenye uongoz wa pale nako nikajieleza bahat nzur nilikuta jamaa mmoja ananifaham wakanichukua mpaka polis nikaandika maelezo kisha nikaenda home ,, asuhuh nikaamka huku nachechemea nikaenda mpka eneo la tukio kuangalia pkpk nikakuta wameichukua basi nikaamua kurud nyumban nikakod toyo inipeleke home tukiwa njian nikawa nmsimulia dereva toyo kilichonikuta cha kushangaza akaniambia kuna pkpk imepata ajal asubuh ya SAA 12 siku hiyo na watu walipata nayo ajali ni askar wawili akanielezea ilivyo nikaona mbona kama itakua yang nikamwambia nipeleke eneo la ajal ,, kufika nakuta ni yenyewe na watu walikua bado hawajatawanyika ila majeruh wameshapelekwa hospital na yule aliyewagonga bas baada ya muda watu wakawa wanatawanyika nikachukua gari nikapapkia nikaondoka nayo sikutaka iende polis maana sina kadi ya hiyo pkpk na pia namba za usajil si sahihi, sikufatilia tena zaid ya kusikia kua wale polis had Leo wako ICU maana walivunjika mbavu na pia hali yangu kiuchum s nzur so nikaona kwa kua mm n mzima wa afya na pkpk nimeipata japo imeharibika nitaitengeneza mwenyewe maana mm n pia fundi,,, but walinitia ktk hatar kubwa kwan nimebaki na maswal ya kijiuliza 1)ingetokea nn kama wangenikamataa. 2)ingetokea nn kama ningesimama niamue kupambana nao. 3) kule nilikokimbilia ndan ya kampun ya maua je ningepigwa risas nikidhaniwa mwizi
Siku nyingine usikimbie pambana kiume

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni yale majizi ya Arusha. Tena jizi kongwe. Hivi hushangai,katika hali ya kawaida raia mwema anaweza kuruka hivyo vihunzi?
Haya ni yale majizi yanaibia watu vyombo vya moto halafu yanapeleka Kenya.
mxqweeeeeeu mleta uzi.
Usikute huwa mnaiba nae maana na wewe unaonekana kajizi jizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni yale majizi ya Arusha. Tena jizi kongwe. Hivi hushangai,katika hali ya kawaida raia mwema anaweza kuruka hivyo vihunzi?
Haya ni yale majizi yanaibia watu vyombo vya moto halafu yanapeleka Kenya.
mxqweeeeeeu mleta uzi.
Yaan me mwenyewe ananipa mashaka maana kama pikipiki ni ya kwake kwa nini asiwe na kadi yake? Kwa nn usajili wa pikiki haueleweki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe ndio wewe ngoja tufuatilie domain zako yaani umeiba pikipiki ya polisi halafu umekimbia na ilipopata ajali ukaiiba tena
Hahahaaa umenifurahisha kafanyaje? Yaani ameiiba ikapatikana then akaiiba tena loh nomaaaaaa
 
Kwa maelezo uliyoyabandika hpa kama ni mbele ya mahakama moja kwa moja ww ni mwizi, pmja na kutuwekea bandiko hili lkn yapo mengne haujatueleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni MWIZI, JAMBAZI. Shenzi type!!!

Kwa hii sentensi hata huo ujasiri wa kukimbia wewe ni mwizi. Mbw.a wewe. Mie sipendi majizi kama wewe. Mxewwwwuuuu

"sikutaka iende polis maana sina kadi ya hiyo pkpk na pia namba za usajil si sahihi,"
Mmi sio mwizi ,,,,mbwa mwenyewe n mamaako
 
Back
Top Bottom