C'mon Jamii Photo members! The inscription on the t-shirt doesn't carry
literal meaning! Bulldog, you've raised so much commotion by insinuating
that the inscription on the t-shirt means what is written; which isn't
true!
The govt is f.u.c.k.ing me = The govt is making my life unbearable! that's all.
We all know that..
Picha haina shida hata kidogo Bulldog. Tatizo lipo kwenye tafsiri ya 'the gvt f.u.c.ks me.' Wengi, wewe ukiwa mmojawao wametafsiri 'serikali inanigegeda'. Sio sahihi.
Kama sijaelewa siruhusiwi kuuliza?
Sasa nimekuelewa Lukansola.Kumbe picha aloleta Bulldog was solely for humour purposes! Kama hivyo ni sawa maana ni kweli inachekesha.Ila wengi walijikita katika tafsiri tena ya neno kwa neno na kuleta maana ambayo si ya kawaida.Naomba nimtetee Bulldog, nina amini ameleta picha hii kama joke tu, shida ni kwa wale ambao wamechukua tafsiri ya from english to kiswahili, tunatofautiana uwezo wa ku process 'humor signals', kuna watu wengine wanaweza kusikia joke leo wakacheka kesho, au hujawahi kutana nao mkuu? Ukimuuliza vipi anajibu ' nacheka vile ulivyosema jana.