Soma jinsi mzungu huyu alivyosema kuhusu Kenya na Tanzania

Nnaona Wakenya "wamesifiwa" dada na mama zao kwa kutembea nusu uchi na wenyewe wanafurahia tu.

Nyang'au haachi kuwa nyang'au.
I don't have to, we have beautiful Tanzanian angels here, not the angry rhinos you rear.
Anyway, I hear they occasionally beat the daylight out of you male fellas, I wouldn't touch them with a ten foot pole!
Spare me!
Dont worry madame FF, tunawapaka hao.
Hawataki kukubali, but we have the most beutiful ladies in EA, and we are proud!
 
Mzungu huyo choko tu....inamaana hajawai ata soma linki za maendeleo na kujiuliza kidunia kwamba kwanini sisi tupo wa tatu kutoka mwisho.....au alifikia Arusha?
 
Acha uboya basi!? Hakuna ukweli kuwa usafiri ni shida Dsm? Hakuna ukweli kwamba kingereza cha watz wengi hakijanyooka vizuri? Hakuna ukweli kwamba kina dada wengi Dsm wanavaa nguo za heshima flani,l? hakuna ukweli ukienda hotel au restaurant chakula utasubiri 30 minutes to an hour.. Acha kubishana na ukweli
Hamia kenya kama unaona panakufaa.
 
Acha uboya basi!? Hakuna ukweli kuwa usafiri ni shida Dsm? Hakuna ukweli kwamba kingereza cha watz wengi hakijanyooka vizuri? Hakuna ukweli kwamba kina dada wengi Dsm wanavaa nguo za heshima flani,l? hakuna ukweli ukienda hotel au restaurant chakula utasubiri 30 minutes to an hour.. Acha kubishana na ukweli
Hatuwezi kulinganishwa na kinchi kinachoteswa na ukabila. Huu uzi ni upuuzi mtupu.
 
ni kweli ila Nairobi na Johannesburg ivi ama Cape town lakini dar apana..dar pengine Mogadishu ama Kampala
Dar kwa sasa iko juu ya Nairobi kuanzia idadi ya watu na pembezoni ya mji kuna nyumba nzuri kuliko hayo magofu ya kibera na mathare .wadanganye wasiofika Nairobi.
 
Kasahau kimoja tu.

Kenya has got the best President and effective government that respects the rights of her citizens in all paces of life but Tanzania has got the worst ever government in the History.
HOVYOOOOO!
 
hatuwataki watanzania wavivu uku Kenya...kaeni uko tu
Wala hatuna shida ya kenya tunajitosheleza. Ninyi ndio mnaihitaji Tanzania . Tz tuna kila kitu ardhi, madini umoja na maliasili kibao na wanawake wa kitanzania ni warembo kuliko hao wa kenya wenye maumbo kama midume.
 
I have only been to Kenya for about a week and Tanzania for 2 years.

After being in Tanzania for a while and I crossed over to Kenya and into Nairobi I was amazed at how much more developed it was than Tanzania. The buildings were actual buildings and not shacks with aluminum roofing.

The chicken in Nairobi was soooooo much better than Tanzania. I bought some fried chicken and fries (chips) and the chicken was actually crispy and juicy! Tanzania generally had dry and tough chicken that was just roasted over charcoal.

Transportation was much more comfortable and organized in Kenya than Tanzania. In Kenya there were actual seats and air conditioning and a set time when buses would arrive and leave. There are definitely some nicer buses in Tanzania that are air conditioned and are a bit nicer but I have been on my fair share of crappy buses and vans. Think 8 person van with 15-20 people... throw in a chicken or a baby and it's a zoo!

Kenyans generally know English pretty well which was a huge surprise to me. However, there were a few instances where I felt like my Swahili was better than theirs. Tanzanians in general have terrible English but if you're visiting any touristy areas you'll be okay.

The pace of life in Kenya felt more accelerated. When I ordered food it would take no more than 5-10 minutes to get it. In Tanzania I've definitely waited an hour for my food. I had gotten so used to it at that point that I always had something to do while I waited and it never quite bothered me.

The people feel more wealthy in Nairobi than Dar es Salaam or Moshi. They dressed nicer and were a lot less conservative in their dressing. Tanzanian women usually will cover their knees and their shoulders and generally do not wear tight fitting clothing. Everywhere in Nairobi the women I saw wore tight clothing and revealing a lot of skin and I was almost flabbergasted thinking that they need to cover up (culture shock!).

I do feel however that Tanzanians are a more friendly than Kenyans probably due to their slower pace of life. Tanzanians will stop and chat with you because they just have more time. Kenyans seem to always be bustling around somewhere, it felt a bit like New York to me where you go from point A to point B without talking to anyone. This may also be a difference between city life and village life.

Also, Kenya is more dangerous for foreigners. Kenya has been helping the fight against terrorists and they have attacked Kenya a few times.

Kenya attack: 147 dead in Garissa University assault - BBC News
https://en.wikipedia.org/wiki/We...

If there's anything in specific you'd like to know shoot me a message!

By Theodore Lin
Mademu wa kisumu mmekosa wanaume eeeh?

Wanaume wa Tz watakuja starting from Dec 23.....

Stay tuned! Tushajua mnataka nini?
 
Huyo si mzungu, atakuwa Msomali. Kilichomfanya akae Tanzania miaka miwili bila kukumbuka kwao ni utamu wa Tanzania.

Huko aliko na wiki mbili kwa washkaji zao atakuwa ameenda kuhamasisha ndoa za jinsia moja. Atukome, tena akome kabisa.
 
Kasahau kimoja tu.

Kenya has got the best President and effective government that respects the rights of her citizens in all paces of life but Tanzania has got the worst ever government in the History.
Please Hakuna sehemu zenye Slums za aibu na Watoto wa mitaani na Umasikini wa Kutisha Kama Slums za Nairobi. Ukitazama Video hii Umasikini wa Kijitakia africa utakufanya ulie. Nina watoto Waliozaliwa kuishi na kusoma Ulaya, Nimeona Watoto hawa Kando ya Vinyi nimelia sana sana, Nimetokwa na Machozi maana hao watoto hapo wana thamani sawa na wanangu! Jiji la Nairobi watu milioni moja wanaishi Katika Mazingira haya, Ni kama 1/5 ya wakaazi wote wa Dar es salaam. Huyo Mzungu alilewa Gongo au alifunikwa kitabaa cheusi machoni kisha kikafuunguliwa alipofika hotelini.

Kiingereza mbona kama cha kawaida sana ndio mzungu huyooo... Embu ongeleeni ya Uganda na Kenya... Kila siku mrufaa Tz... Mtuache ...
 
I have only been to Kenya for about a week and Tanzania for 2 years.

After being in Tanzania for a while and I crossed over to Kenya and into Nairobi I was amazed at how much more developed it was than Tanzania. The buildings were actual buildings and not shacks with aluminum roofing.

The chicken in Nairobi was soooooo much better than Tanzania. I bought some fried chicken and fries (chips) and the chicken was actually crispy and juicy! Tanzania generally had dry and tough chicken that was just roasted over charcoal.

Transportation was much more comfortable and organized in Kenya than Tanzania. In Kenya there were actual seats and air conditioning and a set time when buses would arrive and leave. There are definitely some nicer buses in Tanzania that are air conditioned and are a bit nicer but I have been on my fair share of crappy buses and vans. Think 8 person van with 15-20 people... throw in a chicken or a baby and it's a zoo!

Kenyans generally know English pretty well which was a huge surprise to me. However, there were a few instances where I felt like my Swahili was better than theirs. Tanzanians in general have terrible English but if you're visiting any touristy areas you'll be okay.

The pace of life in Kenya felt more accelerated. When I ordered food it would take no more than 5-10 minutes to get it. In Tanzania I've definitely waited an hour for my food. I had gotten so used to it at that point that I always had something to do while I waited and it never quite bothered me.

The people feel more wealthy in Nairobi than Dar es Salaam or Moshi. They dressed nicer and were a lot less conservative in their dressing. Tanzanian women usually will cover their knees and their shoulders and generally do not wear tight fitting clothing. Everywhere in Nairobi the women I saw wore tight clothing and revealing a lot of skin and I was almost flabbergasted thinking that they need to cover up (culture shock!).

I do feel however that Tanzanians are a more friendly than Kenyans probably due to their slower pace of life. Tanzanians will stop and chat with you because they just have more time. Kenyans seem to always be bustling around somewhere, it felt a bit like New York to me where you go from point A to point B without talking to anyone. This may also be a difference between city life and village life.

Also, Kenya is more dangerous for foreigners. Kenya has been helping the fight against terrorists and they have attacked Kenya a few times.

Kenya attack: 147 dead in Garissa University assault - BBC News
https://en.wikipedia.org/wiki/We...

If there's anything in specific you'd like to know shoot me a message!

By Theodore Lin

Malizia na...... "Mlima kilimanjaro upo kenya "!!!!!swain
 
Kasahau kimoja tu.

Kenya has got the best President and effective government that respects the rights of her citizens in all paces of life but Tanzania has got the worst ever government in the History.

That's it, the best President right there .....

75d4c313a5dc7034c5123ed97156782b.jpg
 
Nahisi aliyoandika hiyo article ni Mkenya. Japokuwa mengi yaliyosemwa yana ukweli ila ina maana huyo Mzungu hajui kwamba lugha ya kwanza Tanzania ni Kiswahil?. Hii ni sawa uwakandie Wahispania kwamba English yao ni mbovu lazima tukupime akili.
 
Kasahau kimoja tu.

Kenya has got the best President and effective government that respects the rights of her citizens in all paces of life but Tanzania has got the worst ever government in the History.
And more corrupt nation than Tanzania that its citizens wish to have our President JPM!
 
Back
Top Bottom