Soma huyu jamaa wa clouds fm

Soma huyu jamaa wa clouds fm

¡˙˙˙nnʇ ıظɐzıןıʞısɐʍɐuı opɐq ıʌıɥ oıpɐɹ pnɐןɔ
 
mbona kama wanaeleweka washikaji hawaaa! au ni kwa vile nawasikiliza kwa muda mchacha ngoja nitawafatilia :A S-coffee:😛hoto:

Morning magic kwangu sijaona tatizo lolote kwani sijaona kama wana upendeleo wowote, pia wanashirikisha vizuri wasikilizaji wake. napenda zaidi pale wanapo watafuta hewani wahusika walio tajwa kwenye mada.
MORNING MAGIC NI KIPINDI BORA.
 
"Morning Magic" most boring. Orest ka- who and another similar mediocre announcer. Stopped listening to these two clowns long time ago.

huwezi kufananisha magic, na hiyo redio ya wafu clouds. labda uwe mwenda wa zimu.
 
Niliwaskia jana katika kipindi cha jahazi wakidai bwana Mataka kafanya mengi makubwa! nilibaki kinywa wazi tu
 
Kwa hili la Mattaka sijui! Ila waendesha vipindi wanakuwa interests na public figures kama hizo, ni wadeclare interests hizo iwe kwa kampuni yao,gazeti,kipindi husika au kama mhusika ana undugu,ujamaa ama mahusiano mengine kabla ya kucomment chochote. Vinginevyo, habari kama wasizitoe hewani.Zinafanya mtu ajitathmini kama anasikiliza kipindi sahihi ama la! Kipindi cha Morning Magic,pamoja na kuwa na urafiki na mmoja wao,hata mimi nawaita clowns! Kwanini? Wana uthubutu wa kuongea kwa maslahi ya mtanzania wa kawaida.. Well and good. Tatizo lao ni upeo wao mdogo,na uwezo wao hafifu wa kuchambua mambo. Japo siwasifii Kayanda na Kibonde,lakini Kawau na Nzowa hawawaingii kiufahamu hao wengine. Labda Mwabulambo ndiye wako naye weight moja.
 
kama uwez kutumia lugha ya watu vizur basi andika kiswahili
 
kusikiliza clouds na redio zingine za jinsi hiyo ni sawa na kununua gazet la udaku, they always praise people who even dont deserve, full kujipendekeza kwa watu flan, nilikua napenda kuskiliza power breakfast wakat yupo masud kipanya, lakin saiv wanabore, gerald anajitahid kidogo.
 
Mi Gerald nimedevelop kutompenda kwa sababu moja,hayuko kama yeye. Yeye ni bora zaidi kuliko anavyotaka awe.. Anapenda kufanya mzaha wakati kwake hauna mvuto. Aache mzaha na vichekesho visivyo na kichwa wala miguu. Naona anahisi ili azibe nafasi ya Masoud afanye hayo,wakati ile ya Masoud ni inborn! Anyways... Maoni tu haya!
 
Anord Kayanda ni Mnyarwanda anayeishi Tanzania bila vibali vyovyote. Kwanza tu selikari ya magamba itoke madarakani, hapo Tanzania patakuwa hapatoshi. Magamba wamekalia uchafu, tutasafisha mpaka vyumbani. stay tuned Kayanda
 
wanaboa 2 kujifanya kuongoza vipndi vyao kama walevi au wavuta unga wanawaza kufanya starehe kujifanya wanajua kuchanganya kiingereza na kiswahil ndo waharibifu wa mzik we2 kwa maelezo zaid tafuta anti virus volume1 na 2
 
Back
Top Bottom