Soma huyu jamaa wa clouds fm

Soma huyu jamaa wa clouds fm

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,010
Ndugu zanguni karibuni kipindi chetu cha jahazi kwanza ya yotesitotenda haki kwa kuwapa aslahaaaaam allheikhum wafuataokwanza nampa aslaaaaaham alleikhum aliekuwa ceo wa actl bW david mattaka ambae pamoja na yotealitoka mahakamani kwa dhaman ya sh million 20 na wengine woteee waliomzamini million kumi kumi naonawapa asalaaaaaaaaaam allheikhum..sisi ndugu zake tuko nyuma yake wakati huu mzitoloooohhhhhhhhhhh we ukae nyuma ya mattaka unamjua vizuri wewe ama ulikuwa unatania arnold kayanda embu mtake radhi kwanza kwa hili ..nahisi huyu bwana amewaweka miguuni wafanyakazi wengi wa clouds kila likifanyika tukio vishambenga hivyo zamani tulizoea mabinti sasa mpaka wanaume anyway bado mna muda wa kurekebishika cameroon amewapa miezi sita hivi vya dezo vitawaumiza
 
watangazaji wa clouds wana akili punguani hujikomba sana kwa watu
 
Sidhani kama wanampaisha bali wanampakaza. Lugha ya picha hiyo,inasaidia kuuliza kwani imekuwaje...
 
landa miaka 50 ya ucameroon
 
"Morning Magic" most boring. Orest ka- who and another similar mediocre announcer. Stopped listening to these two clowns long time ago.
 
Ndugu zanguni karibuni kipindi chetu cha jahazi kwanza ya yotesitotenda haki kwa kuwapa aslahaaaaam allheikhum wafuataokwanza nampa aslaaaaaham alleikhum aliekuwa ceo wa actl bW david mattaka ambae pamoja na yotealitoka mahakamani kwa dhaman ya sh million 20 na wengine woteee waliomzamini million kumi kumi naonawapa asalaaaaaaaaaam allheikhum..sisi ndugu zake tuko nyuma yake wakati huu mzitoloooohhhhhhhhhhh we ukae nyuma ya mattaka unamjua vizuri wewe ama ulikuwa unatania arnold kayanda embu mtake radhi kwanza kwa hili ..nahisi huyu bwana amewaweka miguuni wafanyakazi wengi wa clouds kila likifanyika tukio vishambenga hivyo zamani tulizoea mabinti sasa mpaka wanaume anyway bado mna muda wa kurekebishika cameroon amewapa miezi sita hivi vya dezo vitawaumiza

sioni tatizo lolote, ni salaam tu na the mtangazaji ahs always been satirical about many stuffs, unless hukuelewa some
 
"Morning Magic" most boring. Orest ka- who and another similar mediocre announcer. Stopped listening to these two clowns long time ago.

mbona kama wanaeleweka washikaji hawaaa! au ni kwa vile nawasikiliza kwa muda mchacha ngoja nitawafatilia :A S-coffee:😛hoto:
 
To be honest and fair naona toka Kibonde ameenda likizo quality ya coverage ya kipindi cha jahazi imeimprove kidogo. Kibonde alikuwa ni stooge hilo kila mtu anajua lakini hata mda ule nilikuwa nahisi huyu bwana mdogo kayanda alikuiwa hayuko confortable na mfumo wa Kibonde na kuna muda alikuwa anamchallenge sana lakini Kibonde alikuwa anabulldoze mambo. Sasa with KLibonde temporarily out of the picture naona Kayanda na huyu bwana mdogo Wasiwasi Mwabulambo wameanza kutoa a more objective and balanced coverage ya matangazo na comments zao. Siku hizi wanajitahidi kucover issues za Chama tawala na upinzani kwa kuongea na wahusika moja kwa moja badala ya kuwasemea na kudistort (refer to discussions zao na Nape na Tundu Lissu hivi Karibuni); hata usomaje wa magazeti uko balanced maana wanasoma sio tu uhuru na habari leo ila mwananchi na hata tanzania Daima. There is still a lot to be done kurudisha hadhi lakini ni mwanzo mzuri na the best thing that can happen kwa ClLOUDS ni kutomrudisha huyu stooge Kibonde kwenye kipindi hiki na kuwaachia hawa vijana waendelee with minimum interference!
 
Mi siku hizi nasikiliza radio times fm 100.5mhz, cluds walishaniboa siku nyingi mi nimejiunga na vinega na mpaka sasa mimi ni kinega
 
Back
Top Bottom