madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 326
- 391
Baba John katoka safari zake mbio mbio na kuingia ndani kwake,kamkuta mkewe kakaa mkewe akamuuliza vipi mbona leo mapema na upo na haraka hivyo.
Mume:Akajibu jiandae tuende kwenye msiba mama kafariki.
Mkee:Heeee! mimi siwezi kwenda kwenye msiba mpaka nitengeneze nywele siwezi kwenda na nywele chafu akaondoka kaenda saloon katengeza baadae karudi na kumuuliza mumewe.
Mke:Hivi mama mkwee kwani alikuwa anaumwa nini mpaka mauti inamkuta.
Mume:Mama hajafariki nimetoka kuongea nae sasaivi
Mke:Jamani wewe si umeniambia nijiandae twende kwenye msiba mama kafarikia au.
Mume:Ndio lakini aliefariki ni mama yako.
Mwanamke akaanza kulia na kupiga kelele na akamwambia mumewe baba fanya haraka twende niwai mazishi hawatanielewa nisipo onekana mwanamume nae akamjibu subili niende kunyoa nywele siwezi kwenda na nywele za hivi.