Soma hii muhimu sana

Mkuu kiukweli hii issue hata mimi huwa inanitokea.

Siwagi siriaz na vitu hata kidogo..

Mimi nimeachwa na boat za unguja mara mbili.

Moja ilikuwa tunaenda kwenye issue flani hivi tukapanga saa tatu na nusu tukutane bandarini.

Mimi mpaka saa tatu kamili napigiwa simu nipo sehemu nawaambia nakuja alafu hapo naendelea na harakati zingine tuu..mpaka mda ulipofika ndo nikaanza kutafuta boda boda ili niwahi.kwa bahati mbaya sana foleni ilikuwa kubwa nikaachwaa.

Na safari ya pili hvyo hvyo wife ananiimiza niende niende namuambia mda bado kdogoo subirii,kuja kushtuka naanza pirika za kuondoka daah nafika boat haipo.

Na mara nyingi usafiri naenda mwishoni kabisa mimi huwa mtu wa mwisho mwisho kabisa.

Ila mkuu nilipata kumsikia mtu flani akisema kwamba "HIZI TABIA MARA NYINGI SANA WANAZOWATU AMBAO WANA IQ KUBWA "


Si rahisi sana kwa kila mtu kuwa na hii tabia,ila sijajua ukweli wake ukojee kuhusu hili mkuu
 
Teh ...

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Dah nahisi iq yangu ni ndogo sana mkuu

Mi mgumu sana kuelewa !
 
Dah nahisi iq yangu ni ndogo sana mkuu

Mi mgumu sana kuelewa !
Na miomgoni mwa sifa za watu wenye iQ kubwa ni kuwa wagumu kuelewa hata kwa vitu vyepesi tu.

Kwa sababu akielekezwa kitu na yeye anaanza kukielezea akilini mwakee vya kutosha sana.
 
Ndio maana magenius wotee wana vitu wamefanya vya kipekeyao hakuna aliyefanya.

Isack newton ana unique identity yake.

Sijui akina galileo wana identity zao ambazo ulimwengu mzima unawatambua.

Laiti waangekuwa wao hawagfikirii wasingeweza kufikiria vitu vikubwa vikubwa.

Ila uzuri wa mambo watu wenye aikiu za kutosha hawamezi,wanajaribu kupepesa ubongo na kuchambua kitu weeee,sasa kama kina udhaifu fulani ni ngumu kuelewaa sana
Dah nahisi iq yangu ni ndogo sana mkuu

Mi mgumu sana kuelewa !
 
Aisee mama swalehe anatabu sana na swalehe wake maana baba full comedy kama kigogo na story zake za kutunga
 
Umeongea ukweli

Nlvyokua std 3 , nlipelekwa kwa wanasaikolojia muhimbili na father

Walichonipelekea ni hatari , siwezi ongea watu watahisi uongo na nnajitapa
 
Umeongea ukweli

Nlvyokua std 3 , nlipelekwa kwa wanasaikolojia muhimbili na father

Walichonipelekea ni hatari , siwezi ongea watu watahisi uongo na nnajitapa
Wakati wa utoto wangu nimefanya matukio makubwa mengi ambayo yalinituma akili yangu niyafanye mkuu..

Niliwahi kuchoma nyumba moto nikapigwa sana bila wazazi kujua ninachowaza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisahau kipigo kile...

Mkuu elezea tuu mkuu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…