Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,852
- Thread starter
- #101
Nlkua mtoto mpole sana !Wakati wa utoto wangu nimefanya matukio makubwa mengi ambayo yalinituma akili yangu niyafanye mkuu..
Niliwahi kuchoma nyumba moto nikapigwa sana bila wazazi kujua ninachowazasisahau kipigo kile...
Mkuu elezea tuu mkuu..
Anayefanya mambo yake kwa siri na kwa ustadi mkubwa !
Kuna siku walikuta nimeandika makala ya nyerere , yaani niliandika vitu vingi sana ikiwemo nini kifanyike ili nchi yetu iendelee
Nlkua mdogo mno kufanya yale
Baba yetu kila nyumba akijenga ilikua lazima aweke maktaba
Sasa mtoto wa la tatu , nashinda maktaba natulia zangu huko

Sina story na mtu
Sasa usiulize matokeo ya darasani hapa ila kuna mwaka almost mwaka mzima nliumwa bila kwenda darasani nlvyorudi nkawaongoza wote waliokuwepo darasani hafu ilikua mock yaani niliongoza kwa mock nzima sio kwa shule yaani shule zote zilizo participate ile mock
Ila baada ya kuonja papuchi , akili zote zikatoka !!
Hahaha
Ni hayo tu mkuu , mi sina iq kubwa ila na juhudi
