Soma hii muhimu sana

Soma hii muhimu sana

Mimi mwenyewe nishaachwa na basi Mara kadhaa mkuu; siku hizi nisha acha kukuta ticket mapema; huwa nazikitia apo apo navyoondoka.

Sleeping sickness Mimi pia kuna mda inanichukuaga sana;/ kama nikiwa idol sina kazi za kunichangamsha apo jua kinafuata nikupiga usingizi tu
Dah mkuu tufanyeje sasa

Hawa wakuu wanatucheka tuu hapa
 
Kwenye kulala we ni mimi kabisa kipndi nipo skuli hadi chuo hakuna asie nijua kwa kulala, yani ukitaja jina langu hakuna asie nikumbuka kama amesahau bs ongeza na sifa yangu ha kulala class

Mi nilikua nalala class hasa ticha akiwa anafundisha ndo nalal tena nasjisikia kuchoka sana ila akitoka tu mi usingiz sina binafsi nilikua napenda kelele kuliko utulivu hadi saivi

Nikiwa sehemu imetulia nitalala kwanza sipend kukaa sehemu tulivu
Ila nikiwa na mawazo nitapenda kuwa alone tena maeneo yenye pori au nyikani huwa najisikia kupona mawazo yote

Nilikua napitilizwa kituo kama nipo peke angu alaf nashtuka punde tu gari linapoelekea kituo kingine

sijawahi kufel kwasababu ya usingiz tena nilikua napata max nzuri sec hadi chuo hadi watu mwisho wa siku wakawa wananiuliza how come??

Hadi saivi napenda kulala sipend kukaa bila kufanya kitu lazima nilale tu na kuna muda sipend kampani ya mtu yoyote yule

Nakumbuka kuna siku tulikua tunapiga story na wana kumbe mi kitamboo nishasinzia ila kizuri walikua wamenizoea so sikuichukia hali yangu

mwalimu wa sec walinipa jna la USHITU -Upungufu wa SHIbe Tumboni

Lect akanambia nina Sleeping sickness maana nilikua vet
 
Pole siku ya kusafiri tumia vitu vya kukukosesha usingizi kama kahawa,ganja
Hivyo vyote nmetumia

Kuna mganga alinambia nimpelekee

1. Panya bikira

2. Machozi ya samak

Sijui nafanyaje ani
 
Kwenye kulala we ni mimi kabisa kipndi nipo skuli hadi chuo hakuna asie nijua kwa kulala, yani ukitaja jina langu hakuna asie nikumbuka kama amesahau bs ongeza na sifa yangu ha kulala class

Mi nilikua nalala class hasa ticha akiwa anafundisha ndo nalal tena nasjisikia kuchoka sana ila akitoka tu mi usingiz sina binafsi nilikua napenda kelele kuliko utulivu hadi saivi

Nikiwa sehemu imetulia nitalala kwanza sipend kukaa sehemu tulivu
Ila nikiwa na mawazo nitapenda kuwa alone tena maeneo yenye pori au nyikani huwa najisikia kupona mawazo yote

Nilikua napitilizwa kituo kama nipo peke angu alaf nashtuka punde tu gari linapoelekea kituo kingine

sijawahi kufel kwasababu ya usingiz tena nilikua napata max nzuri sec hadi chuo hadi watu mwisho wa siku wakawa wananiuliza how come??

Hadi saivi napenda kulala sipend kukaa bila kufanya kitu lazima nilale tu na kuna muda sipend kampani ya mtu yoyote yule

Nakumbuka kuna siku tulikua tunapiga story na wana kumbe mi kitamboo nishasinzia ila kizuri walikua wamenizoea so sikuichukia hali yangu

mwalimu wa sec walinipa jna la USHITU -Upungufu wa SHIbe Tumboni

Lect akanambia nina Sleeping sickness maana nilikua vet
dah mkuu tunafanyeje sasa

Hili tatzo
 
Back
Top Bottom