heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,019
- 13,270
Mi nishajizoea japo sijawah litafutia ufumbuzi, but niliambiwa nipunguze matumiz ya chai afadhali caffein ya kahawa kuliko majani ya chai na nahisi ndo iliniharibu kwa kiasi kikubwadah mkuu tunafanyeje sasa
Hili tatzo
Saivi chai yangu ni only ginger yani maji ya moto plus tangawizi nying without sugar au pure ginger mix with pure coffee no sugar no majani
Hata wanangu nahisi hi hali niwaepushie wasiguse majani ya chai
Nikotin itawaadict kama mimi
