heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,038
- 13,358
Mi nishajizoea japo sijawah litafutia ufumbuzi, but niliambiwa nipunguze matumiz ya chai afadhali caffein ya kahawa kuliko majani ya chai na nahisi ndo iliniharibu kwa kiasi kikubwadah mkuu tunafanyeje sasa
Hili tatzo
Ngoja nijaribuMi nishajizoea japo sijawah litafutia ufumbuzi, but niliambiwa nipunguze matumiz ya chai afadhali caffein ya kahawa kuliko majani ya chai na nahisi ndo iliniharibu kwa kiasi kikubwa
Saivi chai yangu ni only ginger yani maji ya moto plus tangawizi nying without sugar au pure ginger mix with pure coffee no sugar no majani
Hata wanangu nahisi hi hali niwaepushie wasiguse majani ya chai
Nikotin itawaadict kama mimi
Teh aiseeMimi ikifika mida ya saa 5 asubuhi mpaka saa 7 ya mchana huwa napata tabu sana! Tangu nipo kidato cha 2 mpaka utuuzima huu. Ikifika hiyo mida nikiwa ofisini huwa naweka earphones masikioni nafungulia kitu chenye kelele ili nisilale.
Nikiwa home huwa naangusha tu.
Yaan pole mnoMimi ikifika mida ya saa 5 asubuhi mpaka saa 7 ya mchana huwa napata tabu sana! Tangu nipo kidato cha 2 mpaka utuuzima huu. Ikifika hiyo mida nikiwa ofisini huwa naweka earphones masikioni nafungulia kitu chenye kelele ili nisilale.
Nikiwa home huwa naangusha tu.
Teh aisee
Pole sana mkuu
Tufanyeje sasa mkuuYaani ni balaaa! Na nikimbonji saa 5 asbh naamka saa 8 na robo ndiyo mida yangu.
Yaan pole mno
Tufanyeje sasa mkuu
Nyete😃😃😃[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpenda kucheka Mimi
Hahaha! Pole mno wewe Tesla. Unapitiliza mpaka na vituo.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Kusinzia kupita kiasi yaweza kuwa ishara ya kutumika kichawi bila wewe kujitambua.Pamoja sana mkuu
Mi sasa hivi nasinzia niwaachie uzi wenu huu
Una ugonjwa Wa kuwa mbunge kupitia ccm hivyo hayo ni maandalizi tu ya kumrithi wasira! Anza kampeni mapema!Nlienda huko mkuu
Wakasema zipo sawa
HahahahaUna ugonjwa Wa kuwa mbunge kupitia ccm hivyo hayo ni maandalizi tu ya kumrithi wasira! Anza kampeni mapema!
Aaah mi mwenyewe nlisnzia sana wakati wa kuandka hii threadbaba swalehe umewapa watu mtihani mpaka wanasema "ngoja nirudie kusoma tena".
Mwingine kasoma, kalala nusu saa, karudia kusoma tena.
Unasinzia huku unaandika halafu unaandika unayoota kwa formula za Nikola Tesla ambazo hazijaeleweka bado.Aaah mi mwenyewe nlisnzia sana wakati wa kuandka hii thread
Tena hivi nipo likizo yaan aisee
Tesla mzee wa magnetic fluxUnasinzia huku unaandika halafu unaandika unayoota kwa formula za Nikola Tesla ambazo hazijaeleweka bado.
Tuonee huruma waja wa dunia hii.
Wwewe unaweza kuwa umeumwa na mbung'o fulani hivi.Tesla mzee wa magnetic flux
Nataman niwe kama huyu jamaa sema nasinzia sana ani
Teh ...Wwewe unaweza kuwa umeumwa na mbung'o fulani hivi.
🙂