Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,298
- 40,101
- Thread starter
-
- #41
Dah mkuu tufanyeje sasaMimi mwenyewe nishaachwa na basi Mara kadhaa mkuu; siku hizi nisha acha kukuta ticket mapema; huwa nazikitia apo apo navyoondoka.
Sleeping sickness Mimi pia kuna mda inanichukuaga sana;/ kama nikiwa idol sina kazi za kunichangamsha apo jua kinafuata nikupiga usingizi tu
kisura;Umetungaaa hii story
Mmh!poleKwenye mambo ya muhim hasa kazin hata yaani
Ila nkitulia tu hivi anii
huu hapa
Ngoja tuwa sikilize wadauDah mkuu tufanyeje sasa
Hawa wakuu wanatucheka tuu hapa
Wewe apo[emoji3][emoji3]kisura;
nani anakuficha
Kwa asilimia ndogo lkn sio kwa chumvi hizo ulizozidishaKuna vya ukweli na vya kutunga
ila kweli mi na tatzo hili
TeeehMimi mwenyewe nishaachwa na basi Mara kadhaa mkuu; siku hizi nisha acha kukuta ticket mapema; huwa nazikitia apo apo navyoondoka.
Sleeping sickness Mimi pia kuna mda inanichukuaga sana;/ kama nikiwa idol sina kazi za kunichangamsha apo jua kinafuata nikupiga usingizi tu
Hapana huu ndo ukweli mkuuKwa asilimia ndogo lkn sio kwa chumvi hizo ulizozidisha
unataka nipigwe Mimi humu ndaniWewe apo[emoji3][emoji3]
Pole siku ya kusafiri tumia vitu vya kukukosesha usingizi kama kahawa,ganja[emoji12]Hapana huu ndo ukweli mkuu
Yaan aisee
Hujui hii shida inavyontesa
Na nani[emoji3]unataka nipigwe Mimi humu ndani
Hivyo vyote nmetumiaPole siku ya kusafiri tumia vitu vya kukukosesha usingizi kama kahawa,ganja[emoji12]
Panya bikira??[emoji23][emoji23][emoji23]acha utan basiHivyo vyote nmetumia
Kuna mganga alinambia nimpelekee
1. Panya bikira
2. Machozi ya samak
Sijui nafanyaje ani
dah mkuu tunafanyeje sasaKwenye kulala we ni mimi kabisa kipndi nipo skuli hadi chuo hakuna asie nijua kwa kulala, yani ukitaja jina langu hakuna asie nikumbuka kama amesahau bs ongeza na sifa yangu ha kulala class
Mi nilikua nalala class hasa ticha akiwa anafundisha ndo nalal tena nasjisikia kuchoka sana ila akitoka tu mi usingiz sina binafsi nilikua napenda kelele kuliko utulivu hadi saivi
Nikiwa sehemu imetulia nitalala kwanza sipend kukaa sehemu tulivu
Ila nikiwa na mawazo nitapenda kuwa alone tena maeneo yenye pori au nyikani huwa najisikia kupona mawazo yote
Nilikua napitilizwa kituo kama nipo peke angu alaf nashtuka punde tu gari linapoelekea kituo kingine
sijawahi kufel kwasababu ya usingiz tena nilikua napata max nzuri sec hadi chuo hadi watu mwisho wa siku wakawa wananiuliza how come??
Hadi saivi napenda kulala sipend kukaa bila kufanya kitu lazima nilale tu na kuna muda sipend kampani ya mtu yoyote yule
Nakumbuka kuna siku tulikua tunapiga story na wana kumbe mi kitamboo nishasinzia ila kizuri walikua wamenizoea so sikuichukia hali yangu
mwalimu wa sec walinipa jna la USHITU -Upungufu wa SHIbe Tumboni
Lect akanambia nina Sleeping sickness maana nilikua vet
Kilicho mtokea TID sitaki kinitokee.Na nani[emoji3]
Woooiiii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kilicho mtokea TID sitaki kinitokee.
surePanya bikira??[emoji23][emoji23][emoji23]acha utan basi