Mzawa_G JF-Expert Member Joined Feb 27, 2014 Posts 669 Reaction score 1,479 Dec 18, 2020 #1 Mwanamke wa kitanzania akishabeba mimba inaitaji uvumilivu mkubwa sana yaan mnaweza kushinda mchana kutwa mnacheka ila ikifika saa 8 usiku utasikia MY EBU AMKA KWANZA UNISINDIKIZE SHELI NIKANUSE PETROL SAIVI NAISI KICHEFUCHEFU JAMON
Mwanamke wa kitanzania akishabeba mimba inaitaji uvumilivu mkubwa sana yaan mnaweza kushinda mchana kutwa mnacheka ila ikifika saa 8 usiku utasikia MY EBU AMKA KWANZA UNISINDIKIZE SHELI NIKANUSE PETROL SAIVI NAISI KICHEFUCHEFU JAMON
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,628 Reaction score 197,284 Dec 18, 2020 #2 Ni wa kuwavumilia tu... Cc: mahondaw