Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Ukitaka kushauriwa kipumbavu, ndo utashauriwa hivyo...hili jukwaa nalipenda sana lakin
Kuna kiu nimegundua mtu anatoa tatizo lake mumshauri mnachokifanya ni kumponda!!
Ina maanisha nyie ni wasafi sana au!?kama unaona mtu alichokifanya na akataka ushauri hapa ni vha kipumbavu si shauri katika njia ya kistaarabu??
Wengine tumekuja humu tukijua watu wa humu wamepevuka lakin hapana kuna baadhi wanaharibu hili jukwaa,hakuna mtu asiye na makosa,tena wengne hayaelezeki
Acheni kujifanya watakatifu hakuna aliye mtakatifu kama huna mchango
Story zako za kutunga sana...
Umeadimika sana..
Naona pia wewe mgeni hapa ndani kwaiyo kwa siku 7 hizi itakuwa bado hujalifaham vizuri jukwaa hili, ukishalifaham utalipenda maana utapata wapwa, mashemeji, marafiki, mawifi, na kila aina na ndugu, na ata kama utapata ndugu hao wote kama ukiwa umeleta issue na unastahili kupondwa tutakuponda tu na kama utastahili kupongezwa tutakupongeza pia, Karibu sana ndugu
Wewe ni gani uongo up hahaha dizain una strees????
Ushakufa au badooo
Ukiona mpaka kesho hajajibu ujue hatuko nae tena!
Unacheza na gegedo, mpaka mtu anaji r.i.p.
Kuna uzi kasema anataka afee ndio tunasubirii tupate mrejesho maana bajeti tushaandaa kila kitu kuhusu maziko yakee
Dina mpendwa naomba ni pm huo uzi aliouweka warumi kwenye lile jukwaa letu