hili jukwaa nalipenda sana lakin
Kuna kiu nimegundua mtu anatoa tatizo lake mumshauri mnachokifanya ni kumponda!!
Ina maanisha nyie ni wasafi sana au!?kama unaona mtu alichokifanya na akataka ushauri hapa ni vha kipumbavu si shauri katika njia ya kistaarabu??
Wengine tumekuja humu tukijua watu wa humu wamepevuka lakin hapana kuna baadhi wanaharibu hili jukwaa,hakuna mtu asiye na makosa,tena wengne hayaelezeki
Acheni kujifanya watakatifu hakuna aliye mtakatifu kama huna mchango
tatizo nyie wataka ushauri hamjielewi na threads zenu. acheni watu wawape makavu
JF inataka watu wenye vifua vipana,kama huna kifua jaribu kule facebook!
hili jukwaa nalipenda sana lakin
Kuna kiu nimegundua mtu anatoa tatizo lake mumshauri mnachokifanya ni kumponda!!
Ina maanisha nyie ni wasafi sana au!?kama unaona mtu alichokifanya na akataka ushauri hapa ni vha kipumbavu si shauri katika njia ya kistaarabu??
Wengine tumekuja humu tukijua watu wa humu wamepevuka lakin hapana kuna baadhi wanaharibu hili jukwaa,hakuna mtu asiye na makosa,tena wengne hayaelezeki
Acheni kujifanya watakatifu hakuna aliye mtakatifu kama huna mchango
Ango shii/sawa gete
Hahahahahahaah kwel tena maana wengne utafkiri wanatumika na shetani