Soma hapa usije kufa kwa uzembe

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,941
24,816
SOMA HAPA USIJE KUFA KWA UZEMBE

Jumuiya ya madaktari wa Marekani imetoa majibu ya vyanzo vya cancer:-

1.Usinywe chai kwenye vikombe vya plastic.

2.Usile chochote chenye moto kilicho ndani ya mfuko wa plastic, mfano; chipsi.

3.Usipashe chakula kwenye microwave kwa kutumia chombo cha plastic.

KUMBUKA plastic ikikutana na joto inatoa kemikali inayosababisha aina 52 za cancer.

Kwahiyo Wafahamishe wote uwapendao ili waepukane na madhara haya.
 
Nimewasilisha tu wana jf wenzangu

00b80cdfac4592f225c7a8f4486ea8b8.jpg


Zero IQ..!
Sasa wewe ZERO, Hiyo Cancer athari yake ni kuharibu dental kweli wewe ni zero,
 
Sasa wewe ZERO, Hiyo Cancer athari yake ni kuharibu dental kweli wewe ni zero,
Mi ni Zero kweli ila salim kikeke ni mwenyekiti wangu kwa sababu mi nimescreen short kutoka kwake na kuwasilisha humu wana jf nao wapate maarifa.
 
Kikeke huwa nikimuona BBC na vitu anavyo copy na paste FB ni vitu viwili tofauti;Bogus
 
Kikeke huwa nikimuona BBC na vitu anavyo copy na paste FB ni vitu viwili tofauti;Bogus
sometimes huwa anapost mambo kama hayo, mfano;
idy.PNG

ila sasa, hii post ya huyu jamaa hata mimi nina wasiwasi nayo, labda aniambie salim ameipost lini niitafute kirahisi
 
Plastics are polymerised organic compounds, Plastics are manufactured by adjusting the chain lenghts and compositions of high molecular weight compounds,

It is best in use for packing materials,electric appliances,household appliances. But drinking anything hot in a "substandard plastic cup" is injurious to health, so in all sense tea,coffee or soup when served hot in plastic cups may cause some degenerated reaction of the plastic and some chemicals may get dissolved in the hot liquid and get consumed,

While drinking the hot drink it is best to use plain paper cup which can be disposed easily and are more environmentally friendly also.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom