Soma hapa uone utapeli mpya wa laptop.....umeingia posta jijini Dar

kama umeelewa anachotaka kusema sasa unataka nini? Si uchangie hoja aliyoleta ambayo tayari unaielewa?
Personally, namlaumu jamaa. Kwa sababu, huwezi kushuka na kuacha vitu vya thamani kwenye gari la watu usiowajua. This is something I have never done before and will not do it.

Achilia mbali kuacha vitu vya thamani, kupewa lift na strangers hasa ktk jiji lililojaa laana km Dsm.

Rahisi ghali siku zote. Asingethubutu hata kukubali lift angejipandia tu daladala.
 
Achilia mbali kuacha vitu vya thamani, kupewa lift na strangers hasa ktk jiji lililojaa laana km Dsm.

Rahisi ghali siku zote. Asingethubutu hata kukubali lift angejipandia tu daladala.

hapo umenena mkuu lkn laiti ningerijua huja badae(hard i knwn comez laiter)
 
Ama Kweli

Dunia Sasa Imani Imekwisha.., Si kwa wake si Kwa Waume..
Kwenye watu Kumi, Binadamu ni mmoja...
 
Asante mkuu kwa info, hata mimi ningeibiwa maana hauwezi ukadhania mtu ana GX 100 halafu aondoke na laptop ya Million 1..

...hapana mkuu haikua ya million 1 ilikua laptop ya laki 5 tu. Mana ni samsung note book ya promo kutoka voda. Teh teh teh....nahis mtoa mada ni mwongo. Siku hzi hakuna watu washamba kiasi hicho hapa mjini.
 
Huyo jamaa mbwiga tu

Tusipende kutukana kila kitu. Mwacheni na umbwiga wake, ila jamaa kaamuwa kuwajuza watu wengine ili wasije pata mkasa kama huo au unaofanana na huo, sio kila mtu ni mjanja, pia ujanja unatofautiana, kutokana na mazingira ya tukio.

Cha msingi tuchukue tukio hili kama changamoto na liwe chanzo cha hisia kwa watu wenyemitego ya aina hiyo au inayoendana na hiyo.

Mpe pole jamaa.
 
sio lazima ukomenti,u can pass like a shadow.
Mada umeielewa halafu unajifanya kukosoa vitu visivyo na msingi. Kuwa mstaarabu bhana.
Sasa kama cjaelewa maana ya gali kuuliza sio kosa ningeweza kuelewa vibaya je!
 
Back
Top Bottom