Sawa ahsante, lakn mm hua nanunua unga sio mahnd. Ndo nataka kujua je hii dona ya kununua n salama?Kama ni mahindi ya shambani kwako na hukuweka dawa unaweza kusaga dona ni nzuri kwa tumbo kwani ina fibre.
Mahindi ya kununua ambayo huna uhakika nayo kama yana madawa ya kuhifadhia. Osha kwanza kabla ya kusaga dona.
Na kuna mwingine alishawahi sema DONA nalo lina shida...!!! Mwingine aliwahi sema IMANI yetu kuwa KONGORO linasaidia miguu haina kitu... hakuna msaada wowote toka kwenye makongoro...!!! Yaani ilimradi kila mtu anamtisha mwenzieKama ni mahindi ya shambani kwako na hukuweka dawa unaweza kusaga dona ni nzuri kwa tumbo kwani ina fibre.
Mahindi ya kununua ambayo huna uhakika nayo kama yana madawa ya kuhifadhia. Osha kwanza kabla ya kusaga dona.
Sawa, kwa hyio tunaweza sema kwamba, sembe ni nzuri kukwepa zle sumu znazoekwa kuhfadhi mahnd, lakn dona ndo ina virutubisho zaid.Dona zuri ni; Nunua mahindi osha mwenyewe vizuri yaanike na baadaye yasage, saga kiasi ili unga usikae nao kwa muda nrefu sana kabla haujaisha kwani dona likikaa kwa muda mrefu linaharibika...
sumu kuvu inaleta kansa, kanda ya ziwa wanapaya sana hiyoHabari zenu wataalamu wa afya,,
Naombeni kuuliza hv kati ya unga wa dona na unga wa sembe ni upi hauna madhara/una madhara kiasi kidogo kiafya?...
Kongoro ni nutritional, ile supu Ina born marrow na mafuta mengi. Ni nzuri kwa afya lakini usile kila siku unless unafanya mazoezi sana.Na kuna mwingine alishawahi sema DONA nalo lina shida...!!! Mwingine aliwahi sema IMANI yetu kuwa KONGORO linasaidia miguu haina kitu... hakuna msaada wowote toka kwenye makongoro...!!! Yaani ilimradi kila mtu anamtisha mwenzie
Sahihi kabisa mkuu.Sawa,,kwa hyio tunaweza sema kwamba,,sembe ni nzuri kukwepa zle sumu znazoekwa kuhfadhi mahnd, lakn dona ndo ina virutubisho zaid.!!
Unang'ang'ana weee kudanganya watu kuwa dona ina sumu ilimradi tu ukatae ukweli.Sawa,,kwa hyio tunaweza sema kwamba,,sembe ni nzuri kukwepa zle sumu znazoekwa kuhfadhi mahnd, lakn dona ndo ina virutubisho zaid.!!
Unafahamu kitu kinaitwa mvio wa akiliUnajuwa, kila kitu tunaambiwa kina madhara... Sembe nimekula toka nipo mtoto kupitia uji.. Leo hii mnapotaka kutuaminisha kuwa sembe nayo ni shida sielewi...
ElezeaUnafahamu kitu kinaitwa mvio wa akili
Sembe sio shda,,,ila sembe ina virutubisho vichache kuliko dona na ndo mana nguruwe wanaokula pumba hua wananenepa sana kwa sababu wakati wa kusaga sembe virutubisho vingi huwa vinabakia kwny pumbaUnajuwa, kila kitu tunaambiwa kina madhara... Sembe nimekula toka nipo mtoto kupitia uji.. Leo hii mnapotaka kutuaminisha kuwa sembe nayo ni shida sielewi...
Ndo kuna mwana aliwahi sema haina kituKongoro ni nutritional, ile supu Ina born marrow na mafuta mengi. Ni nzuri kwa afya lakini usile kila siku unless unafanya mazoezi sana.
Ukitumia lugha ya kistaarabu bado utaeleweka piaUnang'ang'ana weee kudanganya watu kuwa dona ina sumu ilimradi tu ukatae ukweli.
Kubali au kataa kuwa panya anakuzidi akili unayekula makapi maana akikuta mahindi sehemu hula kiini na ganda tu.