Habari wana JF. Juzi nilikuja na uzi nikimshambulia Flora Mbasha kwamba hana Mungu ndani yake maana anavunja ndoa yake mwenyewe misili ya mtu ambaye hajawahi kusoma hata fungu moja la Biblia, watu walinishambilia sana. Leo nimeona hii video ya Baba yake mbasha akisema Flora alimchoka mwanangu, inasikitisha sana nasikia kulia nikitafakari mke wako mwenyewe tena wa ndoa akikumaliza huku ukiona.
HITIMISHO
Mungu haabudiwi kwa style ya kuimba kwa kupiga makelele na kukata viuno bali tunamuita Mungu awe ndani yetu kwa kuimba nyimbo za kuabudu, ndio maana katika maisha yangu sijawahi kupenda nyimbo za huyu dada pamoja na Rose Mhando sidhani kama mungu atakua ndani kwa ujinga kama ule wa kupiga kelele na kukata viuno.
Thats the point!
You cannot switch God on and off at will and expect Him to be happy about it.
Advice her, Flora, that if she does not make up with her husband, all the singing in the world will not let her forge her way into eternity.
How wrong you are!God's relationship with people is personal, its not a public one. She is big and spiritual enough to know her position with God, and please note, the only exception to the law of marriage is sex outside marriage. However, i believe Flora and Mbasha will sort it out at some point and not necessarily now.
So why don't you be patient?
No wonder thread nzima unainenepesha.........just like other misukule. jm2 unafata malipo kwa gwamaji
How wrong you are!
Mungu wetu ni mwenye wivu, ukimdhalilisha hadharani, subiri kudhalilishwa-kama hukutubu!
Tufanye mbasha amefungwa nafac ya flora kwenye jamii ipo? Au atakuwa mke wa pili wa gwajima?
Habari wana JF. Juzi nilikuja na uzi nikimshambulia Flora Mbasha kwamba hana Mungu ndani yake maana anavunja ndoa yake mwenyewe misili ya mtu ambaye hajawahi kusoma hata fungu moja la Biblia, watu walinishambilia sana. Leo nimeona hii video ya Baba yake mbasha akisema Flora alimchoka mwanangu, inasikitisha sana nasikia kulia nikitafakari mke wako mwenyewe tena wa ndoa akikumaliza huku ukiona.
HITIMISHO
Mungu haabudiwi kwa style ya kuimba kwa kupiga makelele na kukata viuno bali tunamuita Mungu awe ndani yetu kwa kuimba nyimbo za kuabudu, ndio maana katika maisha yangu sijawahi kupenda nyimbo za huyu dada pamoja na Rose Mhando sidhani kama mungu atakua ndani kwa ujinga kama ule wa kupiga kelele na kukata viuno.
daudi aliimba na kucheza wapi? Ilikuwa kanisani? Emphasis ya andiko hilo ni nini?
Ndugu mfalmw Sulemani alicheza lakini cheza yake haikuwa arranged/ planned alijikuta akipata mizuka na kurukaruka kwa furaha kwa matendo makubwa aliyofanyiwa na Mungu, hawa wakina Rose Mhango wana plan in advance jinsi gani atakata viuno na steps atakazocheza na dancers wake. Umeona tofauti?
wewe naye boya sana hujui hata biblia,unamkosoa mwenzako wewe mwenyewe huijui,aliyecheza hadi nguo kumvuka si sulemani ni daudi,na ujue swala hilo halikumfurahisha mungu,ndiyo maana aliporudi nyumbani mke wake alimwambia"umefanyaje ubaya huu ukamkosea mungu?msitumie maandiko kuhalalisha vitu vya kijinga,hivyo viuno vinavyokatwa na hao wanaojiita waimbaji wa injili havimtukuzi mungu hata kidogo,
nikuulize swali,uimbaji ni uinjilisti,maana yake kusudi lake namba moja ni kupeleka neno la mungu kwa watu wasiomwamini yesu wamwamini watubu wafuate mapito yake ya maisha ya kiroho,sasa hao wanaokatika hawaufikishi ujumbe wa mungu bali viuno,waseme tu kwamba wanakata viuno kuvutia watu wanunue cd zao,
paulo anasema hivi,ikiwa tutafanana na mambo ya dunia patakuwa na tofauti gani kati ya nuru na giza?ukiangalia nuru na giza kamwe havichangamani,sasa hao akina rose mhando,frola mbasha na wengine wanatofauti gani na akina diamond,na wengine kama hao?