Soma au chapisha papers za kiuanazuoni https://arxiv.org/

Mzee unajijibu tena?

Ndio wako tofauti ndio maana nikasisitiza kua kuna Kiranga na kuna Aspirin...two different dudes!

Ubaya umetoka wapi?Sijataja chochote kibaya kwa yeyote,sio Aspirin wala Kiranga...

Sasa sijui wasi wasi wako ni upi mkuu?
Basi yaishe.... Naona tumetofautiana mitazamo na tafsiri
 
Kusema kweli, mi kwasasa natafuta pesa,

Nikisoma sana sion kama vitakuwa na msaada ukizingatia maisha mafupi na nahitaji kuyafurahia.

Jukumu hili nawaachia wengine.

Kiranga
 
Nikitoka nje ya bongo naweza soma!!

Lkn hizi stress za magu napataje guts za kusoma kitabu??
Pole sana,

Bongo unaweza kusoma mpaka Ph.D ya Nuclear Physics halafu akaja Bashite mmoja hata diploma ya kuunga unga Kampala University of Tanzania hana, akakupiga bonge la daflao mpaka ukawekea walakini usomi wako.
 
Kuna sehem kujua vitu vingi ni msaada kwa wengine na unatambulika.

Hapa bongo, utakufa na usomi wako na hakuna hata recognition yoyote utakayopata.

Kujipanga tu, tatizo wasomi wengiwanakuwa wanaweka mbele kuwa intellectual zaidi, kuliko ku solve practicalproblems.

Halafu kujikita kwenye usomi kama kunawaondolea uwezo wa kuwa wajasiliamali/wafanyabiashara wazuri.

Mtu akija na solution ya matatizo practical, anaitoa tu, hata kama Tanzania hiyo anti-business climate inamzingua, anakwend anchi za watu ambako wanaheshimu gunduzi hizi, ana patent vitu, anaingia biashara na makampuni makubwa, anakula royalties mpaka vizazi na vizazi anavirithisha.
 
Hivi kupenda kusoma ni genetics, hobby, interest au nini!
 
mie naona ni mazingira,watoto wakianzishwa kuanzia wakiwa wadogo kusoma story books,wanakua wakubwa wakiwa na interest ya kujisomea vitabu
 
Dunia inakwenda kasi sana inabidi tuongeze maarifa kutoka kwa wenzetu waliotangulia ki teknolojia.
 
Back
Top Bottom