Arxiv.org ni sehemu ya wasomi kusoma na ku kuchapisha papers za kiuanazuoni.
Uzuri wake ni kuweza kuchapisha na kusoma papers mtandaoni bila ukiritimba sana.
Kuna Watanzania wanaotumia Arxiv.org kusoma au kuchapisha papers?
arXiv.org e-Print archive
Papers, kwa vitabu nenda www.libgen.rsNi only papers au na vitabu??
Where can i get educational administration papers pleaseAsante kwa kushare!