Nilivyo unistall wakati nina ban nikaona wamerudisha tena play store nikaishusha jana usiku duh hakuna chochote ila maboresho ambayo yalikuwa ni kero ni hata mtu akiquote uzi mzima utaonekana nusu
Nikajua mm mshamba may be nimekosea mahali kumbe ni tatizo