figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,492
- 54,895
Chidi anahitaji kusaidiwa sio kuombewa.Tangu nimuombee Sizonje sijaona mabadiliko na sasa hivi najiombea mwenyewe.
Yaah ! kweli TUMEMSOMADah nakumbuka Chidi wakati anatoka ghafla tu akapewa tuzo ya Mwanahiphop bora huku akiwa na ngoma mbili tu moja kamshirikisha matonya mpenzi usinipe lawama na nyingine Chidi soo akiwa na Klyn wabongo walinung'unika sana Chid kupewa ile tuzo maana wengi walikuwa hawamfahamu. Ikabidi Chidi awajibu kwa kurelease bonge la ngoma "MMENISOMA"
Imani haba..Tangu nimuombee Sizonje sijaona mabadiliko na sasa hivi najiombea mwenyewe.