Solo Thang: Nakupenda ila hujatulia

Solo Thang: Nakupenda ila hujatulia

Mwanzoni nilivyoona kichwa cha habari nilifikiri atakuwa anamuimba yule miss Tz poneo Wema Sepetu lakini nilivyousoma nikajua anawazungumzia viongozi wetu hasa mr Dhaifu.
 
Mwanzoni nilivyoona kichwa cha habari nilifikiri atakuwa anamuimba yule miss Tz poneo Wema Sepetu lakini nilivyousoma nikajua anawazungumzia viongozi wetu hasa mr Dhaifu.
 
solo thang anatisha this is a milestone single...sio wale wabana pua....
 
Hii ni single iliyojaa ubunifu wa hali ya juu,.ningependa kama ingepigwa siku ya miaka 50 ya uhuru, coz imebeba ujumbe mzito.
 
Huyu ndo Mfalme!!!!
Katika mashairi huwa hakosei!!!ni songi la kimapinduzi!!!
 
Hawachelewi kuupiga marufuku kama ule wa Manunga yembe
 
My first album had no famous guest appearances
the outcome, I'm crowned the best lyricist
many years on this professional level
why would you question who's better?
the World is still mine.

this is it..hata nikikaa mwaka mzima naandika siwezi kuandika hii masterpiece...solo has put politics on WAX
 
Hapana Go between lines,
anaongelea milestones ya Tanzania tangu ilipopata uhuru,
chini ya Nyerere,
Mwinyi,
Mkapa
na sasa Kikwete
fasihi simulizi inashika kasi, je ni redio/tv ngapi zitaipa airtime hii tungo?
 
i hope haihusiani kabisa na sepetu,wema...!
 
fasihi simulizi inashika kasi, je ni redio/tv ngapi zitaipa airtime hii tungo?
Thubutu!
Jiandae kusikia magamba wakijadili bungeni,
wanakosaga mambo ya kufanya,
watakuja na hoja ipigwe marufuku!
Na hapo ndipo wataipa umaarufu!
 
clouds wanavyojipendekeza kwa mabwepande kwanza ndio watakuwa washauri wa kwanza upigwe marufuku. Big Up Solo Thang Mfalme wa Vina
 
Toka jana nilikuwa siufungui kwakujua huyu mkongwe ameishiwa mashairi, daaah kumbe nimekosa uhondo!
Hongera sana solo nice song!
 
Back
Top Bottom