Solo Thang alitabiri Corona 2001

Kwenye Homa ya Dunia, Solo alikuwa anaongea kuhusu UKIMWI wala sio Corona. Na wala ule haukuwa utabiri kwasababu hakuweka mashairi yake kwenye wakati ujao.

Kwahiyo Solo Thang hakutabri Corona. No, hapana, sio kweli
Nyie lazima mtakuwepo tu hatuna namna
 
Kazi ya fasihi hiyo haikuleza sawasawa kuwa ni UKİMWİ hivyo acha watu wachambue kulingana na mahitaji ya jamii
 
Nyie lazima mtakuwepo tu hatuna namna

Wapi kaongelea ukimwi hebu Leta lines tuzisome apa

Sent using Jamii Forums mobile app

Kazi ya fasihi hiyo haikuleza sawasawa kuwa ni UKİMWİ hivyo acha watu wachambue kulingana na mahitaji ya jamii

"Dhambi kama kamchezo, binaadamu kabeba Dunia pasipo uwezo,
Na wengi wameponzwa dezo,
Wasichana wanasagana, wavulana wameona."

I can argue till tomorrow, huu haukuwa utabiri wa Corona. Kwa mfano kupenda dezo na huu ugonjwa ni wapi na wapi?
 
Kazi ya fasihi ina dhamira nyingi hivyo tukubali ndiyo ukimwi, corona, makosa ya tendo la kujamiiana n.k
 
"Dhambi kama kamchezo, binaadamu kabeba Dunia pasipo uwezo,
Na wengi wameponzwa dezo,
Wasichana wanasagana, wavulana wameona."

I can argue till tomorrow, huu haukuwa utabiri wa Corona. Kwa mfano kupenda dezo na huu ugonjwa ni wapi na wapi?
Nipe like basi kwa kuleta mjadala khaa
 
Hiki kichwa nakielewa sana.

Homa ya dunia sio sawa na sukari ina pilipili (ukimwi )
Kuna mdau naona kachanganya hapo.
 
"Bila Upevu wa Fikra kung'amua Hii Homa ni Ndoto/ Madaktari , Waganga Wote Cha Mtoto/
Bado Wanaitafuta Pimajoto/
Kwani Dunia Ina Homa Kali Mithili ya Moto/

Wanasayansi Tumelala Maabara/ Tunaitafuta Tiba Kwani Homa ya Dunia Ishaleta Madhara
Hakuna Masihara/

Vipofu Wameisikia
Homa ya Dunia
Viziwi Bado Wanalia/
Mabubu Wanataka Kusimulia/
.
Dunia Sawa na Meli Yenye Tundu Inazama Polepole/
Nani Ataziba Tundu na Hakuna Kidole/

SOLO THANG " HOMA YA DUNIA 2001"
Isikilize yote YouTube hapa >>

Haya mashairi aliyatoa kwenye kitabu cha kisabato kinaitwa Homa ya Dunia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom