thang

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Anayejua ukweli wa madai ya Solo Thang kwa Afande Sele, atuambie

    Solo amekomaa kudai kwamba Afande Sele hakustahili kupewa Ufalme. Kwangu hili sio issue sana kwa sababu hata mimi nilishangazwa Afande Sele kuwa zaidi ya Prof. Jay na Solo Thang. Afande hakuwa anawazidi chochote Jay na Solo. Lakini nikaamini wakati mwingine kuna mazali; Afande alipata Zali la...
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tumjadili Shangazi Kaja anayeimbwa na Solo Thang

    https://youtu.be/on0XIvFqJV4?si=_zK9Ex1gcfPCnxtQ Solo Thang kamchana vibaya vibaya Shangazi Kaja. Kafukua kila kona ya aliyofanya Shangazi Kaja. Huyu Shangazi ni nani?
  3. Kindo Emmanuel

    JamiiForums Tanzania Solo Thang - Homa ya Dunia Lyrics

    Bila upevu wa fikra kung’amua hii homa ni ndoto Madaktari, waganga wote chamtoto Bado wanaitafuta pimajoto, kwani dunia ina homa kali mithili ya moto Wanasayansi wamelala maabara, Wanaitafuta tiba Kwani homa ya dunia ishaleta madhara, Hakuna masihara, vipofu wamesikia, homa ya dunia, viziwi bado...
  4. Turnkey

    JamiiForums Tanzania Solo Thang alitabiri Corona 2001

    "Bila Upevu wa Fikra kung'amua Hii Homa ni Ndoto/ Madaktari , Waganga Wote Cha Mtoto/ Bado Wanaitafuta Pimajoto/ Kwani Dunia Ina Homa Kali Mithili ya Moto/ Wanasayansi Tumelala Maabara/ Tunaitafuta Tiba Kwani Homa ya Dunia Ishaleta Madhara Hakuna Masihara/ Vipofu Wameisikia Homa ya Dunia...
Back
Top Bottom