Sijaelewa
Nimewekwa kwa muda mrefu bila mtu tuliyeahidiana kutokea halafu napita pub nasikia kitu SOLEMBA kwenye Jukebox......dah ni soo..Nilikupenda kimapenzi Solemba eeh...ila dharau uliweka mbeleee Solemba....
Sikutaki tenaa...sina haja nawee...nimeshapata mwingine anayenipenda sanaa..*2
Ni mtu teh pole ingia ugonge zako ndovu tuNimewekwa kwa muda mrefu bila mtu tuliyeahidiana kutokea halafu napita pub nasikia kitu SOLEMBA kwenye Jukebox......dah ni soo..
Kumbe Solemba ni mtu??
hahahaah!! Asante sana.
Duh, mi nimekatiwa simu.. Lol
imekula kwako....... Vuta subira hadi jumanne utapigiwa simu upewe maneno yooooote ya mahaba
yaani acha tu, ilinibidi ni-launch Plan B fasta..
Nini usichoelewa Mwali..........nimechomeshwa mahindi....