Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 425
- 1,027
PIGENI HESABU WENYEWE[emoji419][emoji375]Siku tatu kabla ya kilele cha Simba Day tiketi zote 60,000 zinazojaza Uwanja wa Benjamin Mkapa zilikuwa zimeuzwa (Sold Out).
Hii ni mara ya kwanza kwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kujaa siku tatu kabla ya tukio na Simba ndio imeweka historia.
Tiketi za Platnum ziliisha siku moja baada ya kutangazwa kuuzwa zikifuatiwa na VIP A siku mbili baadae.
Platinum viti 20 tu – .......................................Sh 200,000
VIP A -watazamaji 748– .................................Sh 40,000
VIP B – Watazamaji 4160 - .............................Sh 30,000
VIP C – Watazamaji 4060- .............................Sh 20,000
Machungwa – Watazamaji 11,897 -.............Sh 10,000
Viti vya kijani – Watazamaji 19,648 -.............Sh 5,000
Viti vya bluu - Watazamaji 17,045 - ................Sh 5,000
PIGENI HESABU WENYEWE
TulieniSubirini tu mgawanyo wa mwisho wa hayo mapato!! Hakuna cha kupiga hesabu hapo.
Siku tatu kabla ya kilele cha Simba Day tiketi zote 60,000 zinazojaza Uwanja wa Benjamin Mkapa zilikuwa zimeuzwa (Sold Out).
Hii ni mara ya kwanza kwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kujaa siku tatu kabla ya tukio na Simba ndio imeweka historia.
Tiketi za Platnum ziliisha siku moja baada ya kutangazwa kuuzwa zikifuatiwa na VIP A siku mbili baadae.
Mgawanyo wa viti kwenye uwanja wa Mkapa uko kama ifuatavyo;
Platinum viti 20 tu – .......................................Sh 200,000
VIP A -watazamaji 748– .................................Sh 40,000
VIP B – Watazamaji 4160 - .............................Sh 30,000
VIP C – Watazamaji 4060- .............................Sh 20,000
Machungwa – Watazamaji 11,897 -.............Sh 10,000
Viti vya kijani – Watazamaji 19,648 -.............Sh 5,000
Viti vya bluu - Watazamaji 17,045 - ................Sh 5,000
PIGENI HESABU WENYEWE
Alafu yule ng'ombe atakuja aseme timu inamtia hasaraSiku tatu kabla ya kilele cha Simba Day tiketi zote 60,000 zinazojaza Uwanja wa Benjamin Mkapa zilikuwa zimeuzwa (Sold Out).
Hii ni mara ya kwanza kwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kujaa siku tatu kabla ya tukio na Simba ndio imeweka historia.
Tiketi za Platnum ziliisha siku moja baada ya kutangazwa kuuzwa zikifuatiwa na VIP A siku mbili baadae.
Mgawanyo wa viti kwenye uwanja wa Mkapa uko kama ifuatavyo;
Platinum viti 20 tu – .......................................Sh 200,000
VIP A -watazamaji 748– .................................Sh 40,000
VIP B – Watazamaji 4160 - .............................Sh 30,000
VIP C – Watazamaji 4060- .............................Sh 20,000
Machungwa – Watazamaji 11,897 -.............Sh 10,000
Viti vya kijani – Watazamaji 19,648 -.............Sh 5,000
Viti vya bluu - Watazamaji 17,045 - ................Sh 5,000
PIGENI HESABU WENYEWE
JML: 461,155,000
Hela nzuri sanaJML: 461,155,000
Duh
20.00 200,000.00 4,000,000.00 748.00 40,000.00 29,920,000.00 4,160.00 30,000.00 124,800,000.00 4,060.00 20,000.00 81,200,000.00 11,897.00 10,000.00 118,970,000.00 19,648.00 5,000.00 98,240,000.00 17,045.00 5,000.00 85,225,000.00 542,355,000.00
Nasemaje, ole wake isifike hii pesa