Jipatie huduma za umeme wa Solar kwa bei nafuu

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Haya wana JF kwa mala nyingine tena Compuni yenu ya IHAM SOLAR POWER SUPPLIYER,tumeamuwa kuwaletea solar power kwa bei nafuu kabisa

kutokana na matatizo yaliyopo sasa ya umeme tumeamuwa kupunguza bei zetu ili tuweze kuwasaidia wananchi walio wengi kupata hudumu hii ya UMEME JUA

unaweza kuangalia solar system tulizonazo na tuwasiliane kama utakuwa umeridhika

engmtoleraibrahim@yahoo.com
 
Attachments

  • 40-50W-Monocrystalline-Solar-Module.jpg
    40-50W-Monocrystalline-Solar-Module.jpg
    3.8 KB · Views: 1,018
  • 180W-Monocrystalline-Solar-Module.jpg
    180W-Monocrystalline-Solar-Module.jpg
    2.6 KB · Views: 2,752
  • Back-Pack-Portable-Solar-Power-Equipment-SETX-010-.jpg
    Back-Pack-Portable-Solar-Power-Equipment-SETX-010-.jpg
    1.3 KB · Views: 2,614
  • Portable-Solar-Charger-SEC-010-.jpg
    Portable-Solar-Charger-SEC-010-.jpg
    1.8 KB · Views: 2,572
  • Solar-Lawn-Light-DL-L020-.jpg
    Solar-Lawn-Light-DL-L020-.jpg
    1.6 KB · Views: 2,515
  • Solar-Panel-240-Watt-with-UL-TUV-IEC-RINA-Certificates-SL240CE-33P-.jpg
    Solar-Panel-240-Watt-with-UL-TUV-IEC-RINA-Certificates-SL240CE-33P-.jpg
    1.9 KB · Views: 2,615
  • Solar-Panel-240w-SL240CE-36P-.jpg
    Solar-Panel-240w-SL240CE-36P-.jpg
    1.4 KB · Views: 2,608
  • Solar-Power-System-45w.jpg
    Solar-Power-System-45w.jpg
    1.6 KB · Views: 2,688
  • Solar-System-SE-SH300H-.jpg
    Solar-System-SE-SH300H-.jpg
    2.7 KB · Views: 2,643
  • Solar-Yard-Light-DL-G012-.jpg
    Solar-Yard-Light-DL-G012-.jpg
    1.6 KB · Views: 2,572
  • TUV-UL-RINA-Approved-Poly-Silicon-Panel-220-Watt-SL220CE-30P-.jpg
    TUV-UL-RINA-Approved-Poly-Silicon-Panel-220-Watt-SL220CE-30P-.jpg
    1.6 KB · Views: 2,646
Toa mchanganuo wa aina na bei kwani hizo picha ni urembo tu...

Ni kweli mkuu naelewa wateja watahitaji mchanganuo ingawaje huwa tunapenda tupate taarifa kutoka kwa mteja hii inatokana na mahitaji na matumizi ya mteja husika,ku design system inategemea sana na matumizi ya mteja
utaona hapa chini vitu tulivyo navyo

Ni kweli mkuu naelewa wateja watahitaji mchanganuo ingawaje huwa tunapenda tupate taarifa kutoka kwa mteja hii inatokana na mahitaji na matumizi ya mteja husika,ku design system inategemea sana na matumizi ya mteja

Fanya "assumptions" and then utoe options tofauti tofauti
 
Weka detail za kutosha mkuu soral sio panel kuna other item kama

1.Battery (Dry cell na za maji)
2.Invetor
3.Charger controller
4.Panel

Tuwekee bei, Voltage zake,W,Saizi,Capacity ili tuweze kudadavua vizuri
 
Haya wana JF kwa mala nyingine tena Compuni yenu ya IHAM SOLAR POWER SUPPLIYER,tumeamuwa kuwaletea solar power kwa bei nafuu kabisa

kutokana na matatizo yaliyopo sasa ya umeme tumeamuwa kupunguza bei zetu ili tuweze kuwasaidia wananchi walio wengi kupata hudumu hii ya UMEME JUA

unaweza kuangalia solar system tulizonazo na tuwasiliane kama utakuwa umeridhika

engmtoleraibrahim@yahoo.com

Wenye mijengo changamukieni fursa hiyo kuliko kusubili umeme wa mgao
 
Mfano wa Mchanganuo ni huu...

1)Solar ya kuwasha taa 2 Panel 1,Inventor 1 na Betri ya Pikipiki 1 Taa 2 za energy saver na waya mita 20 Jumla ni Sh.150,000/-

2)Solar ya kuwasha taa 4 Panel 2,Inventor 1 na Betri ya N 40 1 Taa 4 za energy saver na waya mita 40 Jumla ni Sh.250,000/-

3)Solar ya kuwasha taa 4 Fan,Radio,TV Panel 4,Inventor 2 na Betri ya N 70 1 Taa 4 za energy saver na waya mita 100 Jumla ni Sh.500,000/- etc.etc...
Kama ndio hivi tutakuelewa...
 
Bado hujaeleza vizuri. Hivyo vitu au vifaa vinawaka kwa masaa mangapi?
 
mkuu tunashukuru kwa taarifa, itakuwa ni vizuri kama utaweka taarifa kamili kama huwezo wa solar katika coooparat mya be fan, tv na fridge pamoja na idadi ya taa.
 
aliyeweka tangazo anafanya biasha kizamani sana, weka vitu hadharani mfano hiyo 500,000/= nawasaha taa 4 fridg, feni, tv/radio kwa muda gani au kwa muda wote nitakaoishi duniani.
 
Watu wan kiu ya majibu jamaa mleta hoja kaingia mitini, au wewe ni dalali unajadili cha juu kama vp usepe?
Toa ufafanuzi biashara matangazo jombaaaa.
 
Haya wana JF kwa mala nyingine tena Compuni yenu ya IHAM SOLAR POWER SUPPLIYER,tumeamuwa kuwaletea solar power kwa bei nafuu kabisa

kutokana na matatizo yaliyopo sasa ya umeme tumeamuwa kupunguza bei zetu ili tuweze kuwasaidia wananchi walio wengi kupata hudumu hii ya UMEME JUA

unaweza kuangalia solar system tulizonazo na tuwasiliane kama utakuwa umeridhika

engmtoleraibrahim@yahoo.com

hii kampuni ipo makini kweli...?
 
kutokana na matatizo yaliyopo sasa ya umeme tumeamuwa kupunguza bei zetu ili tuweze kuwasaidia wananchi walio wengi kupata hudumu hii ya UMEME JUA

Endelea tu na biashara yako si lazima usema lugha ambazo tunaamini si za kweli.... otherwise nitahitaji nione mchanganuo na nione wapi unanisaidia exactly .. but kama nakulipa pesa ambayo umeweka na faida hunisaidii Mangi! ...kama ninashida nitanunua hata biala kusema unanisaidia na kama unataka kusaidia wananchi kwa dhati kuna zahanati kibao ambako hakuna dalili ya kuwa na umeme kwa zaidin ya miaka 25 hivi kama Magamba bado yatakuwa na nafasi kiuongozi ...nenda kwenye hizo zahanati kawafungie kisha useme nimefanya hivi kwa msaada.. otherwise its pure business and don't comfort us with ..msaada
 
Dunia inavyokwenda kasi, online business bila details, hata kama kweli bidhaa zako zinaweza kuwa za bei nafuu, ila mimi kama mteja napata wepesi wa ku-"negotiate" na mfanyabiashara anayeniwekea bei wazi na ubora wa bidhaa zake.
 
Haya wana JF kwa mala nyingine tena Compuni yenu ya IHAM SOLAR POWER SUPPLIYER,tumeamuwa kuwaletea solar power kwa bei nafuu kabisakutokana na matatizo yaliyopo sasa ya umeme tumeamuwa kupunguza bei zetu ili tuweze kuwasaidia wananchi walio wengi kupata hudumu hii ya UMEME JUAunaweza kuangalia solar system tulizonazo na tuwasiliane kama utakuwa umeridhikaengmtoleraibrahim@yahoo.com
mkuu weka power rating ya hizo panel zako watu wacalculate wenyewe na sio mambo ya kusema inawasha taa 2, mara taa 3 nk.mfano panel ya futi 1 inaproduce watts 80 etc.
 
Tupatie more details za vifaa ulivyoonyesha maana wengine ni akina mama hatuelewi hata kwa kuona hapo
 
naomba unipe bei na vifaa vyote vitakavyofanya kazi na hiyo solar,nina taa 4,fridge,tv,na radio,
asante
 
Back
Top Bottom