solar inveta

solar inveta

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,554
Reaction score
4,171
kuna tofaut gan kat ya inveta ya kusuka na mpya?
(solar inveta)
 
inverta mpya ndo ya ukweli maana inatunza betri kwa muda mrefu tofauti na betri za kusuka ambazo inakamua betri hadi moto ukaisha ktk betri na kuiweka ktk hatari ya kufa haraka
 
mbona wanasema mpya zinapiga shot haraka?
 
Invrter za kusuka ni nzurinzaidi kuliko za dukani ila inabidi fundi anaye suka awe mzoefu na mtaalam wa kutosha na awe anajua namna ya kusuka inverter kubwa isiyo drain power kwa haraka,
 
inverta ya dukani ni majanga labda hiwe toka german au japan kama ni ya mchina balaa ikiungua mara 2 unatupa tafuta mtaaramu akusukie hiyo hata ikiungua ni rahisi kurekebisha pia uraji wa moto ninafuu.
 
Yan inverter nyingi za kusukwa, mafundi wanatumia transistor IRFZ44N ambazo ni mosfet transistor, lakin hazihimil kwa muda mrefu, lakin kuna generation iliyofuata hapo zinaitwa IRFZ60N hiz kidogo ziko powa na zinadumu kwa muda mrefu
 
vizur kuna utofaut wa juu juu kati ya ilorekebishwa na ambayo bado?
coz kubambikiwa na njenje
 
Kwa jinsi ninavyojua Inveter za kusuka huwa zinaharibu Battery maisha ya battery yanakuwa mafupi ukilinganisha na za dukani Na pia hii inasababishwa na msukaji kushindwa ku kadiria inveter-Battery-Load hii inasababisha msukaji akasuka inveter ambayo haiendani na batery mtumiaji atakazotumia au apliance zitakazo tumika.....Za dukani ukisema kuwa ni mbovu hii inategemea na sehemu au kampuni uliyonunulia...Tatizo letu huwa tunapenda vitu vya bei rahisi ndomana hata maisha yake yanakuwa mafupi...Kuna inveter zenye guarantee mpaka miaka saba. Inveter bora na nzuri ni TRIPPLITE,MAGNUM,VICTRON,OUTBACK&MORNINGSTAR. Unaweza ni pm kama unahitaji au maelezo zaidi
 
umeona kaka,inveta ya dukani inatumia betri mwisho 10v lakini ya kusuka inafyonza volt hata hadi 4v.naweza kusema una overuse betri.mimi ninayo interta aina ya telwin toka italy haijawahi kuungua tangu niinunue 2006 hadi leo inapiga mzigo,nilishawishika kununua ya kusuka lakini hata miezi2 haikumaliza na hata nilipoipeleka kwa fundi alisema haitengenezeki hadi isukwe upya kwa gharama kubwa.tangia hapo sina mpango wa kununua inverta ya kusuka
 
Kwa jinsi ninavyojua Inveter za kusuka huwa zinaharibu Battery maisha ya battery yanakuwa mafupi ukilinganisha na za dukani Na pia hii inasababishwa na msukaji kushindwa ku kadiria inveter-Battery-Load hii inasababisha msukaji akasuka inveter ambayo haiendani na batery mtumiaji atakazotumia au apliance zitakazo tumika.....Za dukani ukisema kuwa ni mbovu hii inategemea na sehemu au kampuni uliyonunulia...Tatizo letu huwa tunapenda vitu vya bei rahisi ndomana hata maisha yake yanakuwa mafupi...Kuna inveter zenye guarantee mpaka miaka saba. Inveter bora na nzuri ni TRIPPLITE,MAGNUM,VICTRON,OUTBACK&MORNINGSTAR. Unaweza ni pm kama unahitaji au maelezo zaidi

kuna mafund ambao waanakuambia kanunue then wanarekebisha tu. hyo nayo vp
 
Ambacho huwa wanakirekebisha ni kipi hasa au wanarekebisha kwa kuongeza size yake au kupunguza
Mara nyingi mafundi wa namna hiyo jua ni wasanii wanataka kukuibia kwa sababu unapo nunua inveter inamana imekamilika sasa wanachorekebisha ni kipi hasa...
 
Ninayo inverter moja ya India inaitwa Falcon,pamoja na dry cell za kimarekani westernstar za N100 tangu 2009 hadi leo natumia bila shida.haijawahi kusumbua hata kidogo.na wale jamaa nilionunua kwao walisema wazi kwamba soko la inverter hapa bongo limejaa inverter feki sana.Walinipa guarantee ya mwaka mmoja.Wanaitwa Solar Planet,wako karibu na soko kuu la kariakoo opposite na hospitali fulani ya waislamu.Pia angalia matumizi yako.Usipende kuoverload kifaa.Inverters na generators zinakufa sana kutokana na watu kuoverload kifaa au kuweka load ambayo iko exactly sawa na uwezo wa kifaa.Unatakiwa kununua kifaa ambacho kimezidi kidogo load yako yote kwa sababu vifaa vingi vya umeme vinapowashwa pale mwanzo vinatumia nguvu mara 2 ya uwezo wake lets say tv imeandikwa 70w pale inapowashwa(switch on) inakula umeme zaidi ya hizo 70w.Halafu uwe unawasha kifaa kimoja kimoja manake ukiwasha vyote kwa pamoja na huku vinakula umeme mwingi vinapowaka utashangaa betri inaisha charge haraka na inverter inasumbua baada ya muda kumbe load yako unapowasha vifaa inakuwa inazidi load halisi.Sijui nimeeleweka huwa sijui kurahisisha maelezo jamani!
 
umesomeka vyema kaka..nahtaji kuwasha taa 3 na kuangalia tv basi...invetor ya tsh ngapi itanfaa
 
da nakuelewa vizura sana kaka.
huku wananiuzia bt jawatou gutantee ingawaje kampun imetoa.
hawa nao vp.
nimepata ya 300wat ila gurantee hawatoi
 
Back
Top Bottom