C christmas JF-Expert Member Joined Jul 21, 2011 Posts 2,701 Reaction score 1,281 Sep 22, 2014 #1 wakuu kama mlivyosoma hapo juu. natafuta solar kwa matumizi ya nyumbani ni kama chumba kimoja inayowasha taa basi tv na jagi la kuchemsha maji
wakuu kama mlivyosoma hapo juu. natafuta solar kwa matumizi ya nyumbani ni kama chumba kimoja inayowasha taa basi tv na jagi la kuchemsha maji
Kv-london JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 2,892 Reaction score 5,084 Sep 22, 2014 #2 Hapo kwa matumz hayo uwe na kama lak5 hv.
akohi JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 787 Reaction score 527 Sep 22, 2014 #3 Mmh laki tano haitoshi. Jua idadi ya watts kwanza ndio itakusaidia kupata mfumo sahihi. Mf. Tv watts ngapi Taa watts ngapi Jagi watts ngapi Pasi watts ngapi Etc
Mmh laki tano haitoshi. Jua idadi ya watts kwanza ndio itakusaidia kupata mfumo sahihi. Mf. Tv watts ngapi Taa watts ngapi Jagi watts ngapi Pasi watts ngapi Etc