solar inaitajika

solar inaitajika

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
693
naitaji sola yenye uwezo wa kuwasha tv na taa,kama unayo ni pm na bei yako
 
naitaji sola yenye uwezo wa kuwasha tv na taa,kama unayo ni pm na bei yako

Kama upo dar nenda Zara Solar pale makutano ya bibi titi na morogoro road. Utapata ushauri wa kutosha na bei zao sio mbaya. angalie usije kununua kanyaboya za kariakoo.
 
Back
Top Bottom