Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,459
- 872,114
Hiii ilishatokeaga live tena ilikuwa chupi ya mdada wa kazi na ilikuwa chafu
Halafu unakuta upo na wageni sebuleni uwiiii sipati picha
Utatamani dunia ipasuke uingie
hahaha...uwiii ntamchapa huyo mtoto vibaya munoo