Maajabu yatokea katika foleni ya kupata magodoro kwa mwaka wa kwanza, Dada mmoja azimia katika foleni cha kushangaza baada ya kuambiwa achukue godoro ili akapumzike akapata fahamu" daah ni shida tupu ndg wa SUA undergraduate mjipaaaangeeee!
Wap hapo...new hostel au mazimbu......fafanua mkuu
ndio kamanda' vip ndg upo unit gan? M nko unit2 rum22, karbu.
Bora sasa hivi watu wamepungua sana hata foleni hamna ila ilikua disaster
Bora sasa hivi watu wamepungua sana hata foleni hamna ila ilikua disaster
poleni bandugu, msalimieni yule maza kauzu wa unit 2 cafeteria...! vumilieni coz tulipitia matatizo hayo hayo bt 4 now ni bata tuuu
poleni bandugu, msalimieni yule maza kauzu wa unit 2 cafeteria...! vumilieni coz tulipitia matatizo hayo hayo bt 4 now ni bata tuuu