General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,187
Ingekuwa vizuri ukaanza wewe
Wakuu wana SUA, mlio maliza na mnaoendelea, habari zenu.
Tunaomba tupeane updates na outdates, ulimaliza lini, ulisomea nini, upo wapi kwa sasa.
Tupeane michongo na taarifa muhimu.
Karibuni Wana SUA.
Ardhi Ni Hazina
hahahaa,hii koz mala ya kwanza inatamkwa tulicheka sanaKilimo cha mboga mboga na Matunda
campus gan mkuuNipo naendelea mm SUA
hakuna mkuuHivi hapo hakuna course ya Makinikia?
unapiga nini mkuuNipo naendelea mm SUA
michongo inasemaje kitaa mkuuBsc Irrigation engineering, DEST, SUA. 2016!
mazimbu nikikumbuka freedom square sipataki kabisaanikiwa bado nakula upepo wa mazimbu hapa
Hata mm nilijua ni utani, nilipogundua ni kweli...nikawa najichekea tu kila siku.hahahaa,hii koz mala ya kwanza inatamkwa tulicheka sana
We kapige shule rahisi ya forestry Pale DASP jipange sana sababu kichwa kuliwa nje-nje.Wataaaalam wa SUA hiivi kati ya bachelor ya animal science na bachelor ya forest ipi iko poah ki ajira pia kiusomaji haipo complicated