Soko Ubungo kuiua Kariakoo

Soko Ubungo kuiua Kariakoo

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
72,969
Reaction score
102,754
Wageni walitakiwa kufungua viwanda Tanzania, na sio kufanya Tanzania sehemu ya kuleta mizigo yao.

Ubungo panajengwa soko la jumla la Wachina. Hili soko litakuwa lauza bidhaa za kutoka China kwa bei ya jumla, maana yake watashindana na maduka ya kawaida.

Je, serikali imewafikiria Watanzania na yatayotokea huko mbeleni?
 
Hii nchi uko inakokwenda inatengeneza vita vya wenyewe kwa wenyewe maana gap la walionacho na wasio nacho linazidi kuongezeka kwa kasi sana.

Mwendazake alijaribu kulipunguza lakini huyu Hangaya kaja na yake. Anyway time will tell.
ANGALIZO: Mimi sio mmoja wa wasio nacho, ni wa walionacho, ila ninawaza tu kwa kuangalia jicho la tatu.
 
Hii nchi uko inakokwenda inatengeneza vita vya wenyewe kwa wenyewe maana gap la walionacho na wasio nacho linazidi kuongezeka kwa kasi sana. Mwendazake alijaribu kulipunguza lakini huyu hangaya kaja na yake. Anyway time will tell.
Yatatokea yale yale ya Kenya.

Wachina kwa sasa wanabidhaa nyingi hawana sehemu ya kuuza hivyo wanatafuta njia zozote zile za kutengeneza utegemezi ili waendelee uza.

Tukijashtuka tumeisha
 
Hiyo si sawa maana wataua kabisa viwanda vya ndani.

Wao walipaswa waje kujenga viwanda ili wananchi wapate ajira, na sio kuleta ready made items

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Wakiua viwanda, watu wasio na kazi wataongezeka , na panya road pia.. sasa hapo ndio kimbembe kitaanza, hawa viongozi wa bongo wanawaza matumbo yao na vizazi vyao, hawajui kua kwa kufanya hivyo hawatakua salama. Nchi ngumu sana hii.
 
Watanzania kwa kulialia, kulalamika hovyo mara wanataka kutuletea ushoga, mara wanataka kuua maskini na bima, mara wanataka kuua viwanda vyetu. Sisi ni wazee wa kulia lia kwenye keyboard wenzetu wanaangalia fursa wanaingia.

Soon Itakuja Train ya umeme Watu wama BUS wataandamana

Be ready for change na ujifunze kurepond accordingly. Wacha watu waweke INVESTMENT mambo yataji balance tu
 
Back
Top Bottom