Soko Ruaha Kilombero linaungua muda huu

Soko Ruaha Kilombero linaungua muda huu

masoko mengi ya Africa yapo ovyoovyo sana ata miundombinu ya usalama hakunaga kabisa, mibanano, hydrant hakuna, mbaya zaid uchafu.

moto ukitokea ata kujitetea inashindikana
 
Lile soko acha tu liungue labda watajenga jipya siyo yale mabanda yaliyokuwepo,soko halina entry ya gari limekaa ovyo sana limezungukwa na makazi ya watu na fremu tu.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom