juniour12
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 407
- 378
Habari zenu wakuu, Jamani nina ndugu yangu ana magunia mengi ya vitunguu almost 300 ametunza store.
Tunaomba anayejua soko zuri la vitunguu nje ya nchi mfano commoro na kwa ndani kama Zanzibar atupe uzoefu wake hatimaye na sisi tuweze kufanikiwa.
N.B. Huo mfano nilioweka ni kulingana na maneno niliyo sikia kwa watu.. Ukizingatia ni visiwa nahisi demand ya agricultural product ni kubwa.
Karibuni wakuu kwa ushauri zaidi.