Scoob102 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2014 Posts 318 Reaction score 389 Feb 15, 2017 #1 Habari wadau? Nahitaj soko la vitunguu vyangu... Vitatoka mwanzoni mwa March nimeona sio mbaya nikaandaa soko kwani sio vingi sana. Shamba ni kama nusu heka kwa sasa... vingine bado vidogo. Shamba lipo Rudewa - Kilosa. Asanteni
Habari wadau? Nahitaj soko la vitunguu vyangu... Vitatoka mwanzoni mwa March nimeona sio mbaya nikaandaa soko kwani sio vingi sana. Shamba ni kama nusu heka kwa sasa... vingine bado vidogo. Shamba lipo Rudewa - Kilosa. Asanteni