Sio sahihi.
Soya ni soybean (Glycine max)
Maharage ya soya ni maharage yenye rangi ya zambarau (kule mbeya wanaita kablanketi) lakini ni maharage tu ya kawaida (Phaseolus vulgaris). kiuhalisia maharage ya soya ni maharage tu. Sio Soya
Sio sahihi.
Soya ni soybean (Glycine max)
Maharage ya soya ni maharage yenye rangi ya zambarau (kule mbeya wanaita kablanketi) lakini ni maharage tu ya kawaida (Phaseolus vulgaris). kiuhalisia maharage ya soya ni maharage tu.