Mzigo upo songea, zaidi ya Tani 200Toa taarifa vizuri we upo wapi na mzigo upo kiasi gani?
tafuta wazalishaji wa vyakula vya kuku wa nyama fanya nao biasharaMzigo upo songea, zaidi ya Tani 200
Tsh 2,000 per kg.tafuta wazalishaji wa vyakula vya kuku wa nyama fanya nao biashara
bei yako kwa kg ipo vipi
Pure, Bado haijachakatwa.Ni soya ghafi au iliyokwisha chakatwa ( mashudu)
Lete Dodoma ndio maharagwe pendwa huku!Mzigo upo songea, zaidi ya Tani 200
Una connection na mnunuzi yeyote hapo?Lete Dodoma ndio maharagwe pendwa huku!
Bei ya jumla ndo hii au maana ninavyofaamu mm iko chini kidogoTsh 2,000 per kg.
Maongezi yapoBei ya jumla ndo hii au maana ninavyofaamu mm iko chini kidogo
Mawasiliano yako tafadhaliKwa ambae ana connection na soko la soya msaada tafadhali.
Mzigo upo mwingi.
Hivi kinachoitwa soya ni Soybean au ni yale maharage wanayoita maharage ya soya?Lete Dodoma ndio maharagwe pendwa huku!
Njoo inbox tuyajengeKwa ambae ana connection na soko la soya msaada tafadhali.
Mzigo upo mwingi.
Though changamoto ya soya ya songea ni kiasi kidogo Cha mafuta nicheki tuongeeKwa ambae ana connection na soko la soya msaada tafadhali.
Mzigo upo mwingi.
0712928390Maongezi yapo
0712928390Mawasiliano yako tafadhali