Soko la Mbgaboga

Soko la Mbgaboga

disturbanced

Member
Joined
Oct 27, 2024
Posts
37
Reaction score
38
wakuu habari za muda huu...binafsi natafuta masoko ya uhakika ya mbogamboga aina ya broccoli,caulflower,chinesse cabage,red cabage,zucchini pamoja na letuce kwa yeyote mwenye connection may be ya hoteli sokoni au vyovyote karibu tufanye kazi natanguliza shukran zenu. picha za mazao hayo zipo chini.0756763846

ZUCCINI-SEEDS2.jpg
7f08f4_1c666bd1d56144bc9d03185a419ec907~mv2.jpg
chinese-cabbage-napa-china-star-napa-cabbage-michihili.jpg
88-cabbage-chinese.jpg
91EdPVzD99L.jpg
nurserylive-seeds-broccoli-green-imported-vegetable-seeds-16969059795084.jpg
 
wakuu habari za muda huu...binafsi natafuta masoko ya uhakika ya mbogamboga aina ya broccoli,caulflower,chinesse cabage,red cabage,zucchini pamoja na letuce kwa yeyote mwenye connection may be ya hoteli sokoni au vyovyote karibu tufanye kazi natanguliza shukran zenu. picha za mazao hayo zipo chini.0756763846
Unalima mwenyewe? Kwanini umetumia picha za kuokoteza na usipige mazao yako mwenyewe?
 
wakuu habari za muda huu...binafsi natafuta masoko ya uhakika ya mbogamboga aina ya broccoli,caulflower,chinesse cabage,red cabage,zucchini pamoja na letuce kwa yeyote mwenye connection may be ya hoteli sokoni au vyovyote karibu tufanye kazi natanguliza shukran zenu. picha za mazao hayo zipo chini.0756763846

Picha za kitapeli hizi.deal haivutii tena.kwa nini usiweke za shambani.Bongo bado saana
 
Back
Top Bottom