Soko la mayai, je hii ni kawaida?

Soko la mayai, je hii ni kawaida?

mkuu Kijani 11 Vipi hali ya soko la Mayai bado baya? Nami nimeanza ufugaji kuku wa Mayai ! Baada miezi 4 hivi nitakuwa nauza Mayai

Soko bado ni gumu lakini tunaendanalo hivyo hivyo.
 
mimi nauza kwa jumla. wafugaji tuwasiliane tufanye biashara. 0752 981380
 
Back
Top Bottom