Darcityconfidential
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 351
- 367
Habari za muda huu Wadau, Nina shamba la matikiti Maji lenye eneo la heka moja, tikiti limeshakomaa ndani ya week hii navuna. Naomba ushauri wa soko la tikiti kwa sasa lipoje? Kuna faida na hasara gani kuuzia shambani au kupeleka sokoni mimi mwenyewe.