wakuu heshima yenu jmn naomba msaada kama kichwa cha hbr kinavyojieleza nimefatilia thread zinazohusu biashara ya kuku wa kienyeji kwa dar sijapata majibu ya uhakika naombeni anayefahamu mana mi mtaji wangu si wa kuku wengi sana hivyo nimeshindwa kuomba tenda mahotelini nahitaji kukuza mtaji kwanza hvyo michango yenu inahitajika sana nimeonq wengi wanaomba ila hawapati majibh ya kuridjisha msitutupe jmn tudaidieni na sisi